Hades : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: arz:هيدز
d Robot: id:Hades is a featured article
Mstari 27: Mstari 27:
[[Jamii:Miungu wa Kigiriki]]
[[Jamii:Miungu wa Kigiriki]]
[[Jamii:Mitholojia ya Kigiriki]]
[[Jamii:Mitholojia ya Kigiriki]]
{{Link FA|id}}


[[af:Hades]]
[[af:Hades]]

Pitio la 03:06, 28 Novemba 2011

Hade
Sanamu ya Hade na mbwa mwenye vichwa vitatu Serbero
Mfalme wa Kuzimu
Mungu wa Waliokufa
MakaoKuzimu
AlamaSerbero, Helmeti ya Giza, Muhuhu, Narsisi, Ufunguo wa Hade
MwenziPersefona
WazaziKrono na Rea
NduguPoseidoni, Demetra, Hestia, Hera na Zeu
WatotoMakaria, Melinoe, Zagreo na Plutu
Ulinganifu wa KirumiPluto, Dis Pater, Orcus
Ulinganifu wa KietruskiAita


Hade (Kigiriki cha Kale: ᾍδης, Hadēs; kutoka Ἅιδης, Haidēs au Άΐδης, Aidēs; Kidoriki: Ἀΐδας, Aidas) ni mungu wa kuzimu na bwana wa waliokufa katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Pluto katika dini ya Roma ya Kale.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA