John F. Kennedy : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: km:John F. Kennedy
d Robot: hr:John F. Kennedy is a featured article
Mstari 22: Mstari 22:
{{Link FA|he}}
{{Link FA|he}}
{{Link FA|vi}}
{{Link FA|vi}}
{{Link FA|hr}}


[[af:John F. Kennedy]]
[[af:John F. Kennedy]]

Pitio la 02:44, 28 Novemba 2011

John F. Kennedy

John Fitzgerald Kennedy (29 Mei, 191722 Novemba, 1963) alikuwa Raisi wa Marekani. Alikuwa mtoto wa pili katika familia ya watoto 9. Baba yake alikuwa mfanyabiashara maarufu. Ukoo wa Kennedy una asili ya Kiirish. Vita Kuu ya Pili ilipoanza alijiunga na jeshi la wanamaji. 1943 alijeruhiwa katika shambulio lililofanywa na ndege za kivita za Japani. Mwaka 1947 alianza kujiingiza katika siasa na 1960 alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani. Aliuawa kwa kupigwa risasi tarehe 22 Novemba, 1963. Atakumbukwa pia kwa kutetea haki za watu wote bila kujali rangi.

Alisema "Wamarekani wasiulize Marekani imewatendea nini bali wajiulize kwanza wao wenyewe wameitendea nini nchi yao".

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John F. Kennedy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA