Elektroni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sa:एलेक्ट्रोन्
d Robot: en:Electron is a featured article
Mstari 17: Mstari 17:
[[Jamii:Umeme]]
[[Jamii:Umeme]]
[[Jamii:Fizikia]]
[[Jamii:Fizikia]]
{{Link FA|en}}


[[af:Elektron]]
[[af:Elektron]]

Pitio la 00:38, 28 Novemba 2011

Mfano wa mpangilio wa elektroni kwenye mizingo elektroni ndani ya ganda la atomi cha natiri

Elektroni ni chembe ndani ya atomi yenye chaji hasi. Iko nje ya kiini cha atomi na kukizunguka kwa njia yake katika ganda la atomi. Njia hizi zaitwa mizingo elektroni.

Masi ya elektroni ni ndogo sana imekadiriwa kuwa sehemu ya 1/1836 ya protoni. Jumla ya elektroni zote haifikii asilimia moja ya masi ya atomi yote mengine ni kiini. Idadi ya elektroni katika atomi hulingana idadi ya

Elektroni hukaa ndani ya atomi lakini kuna pia elektroni zilizotoka kwenye atomi yao.

Mwendo wa elektroni kutoka atomi mmoja kwenda nyingine unasababisha umeme.

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elektroni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elektroni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA