Maziwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: sa:क्षीरम्
d Robot: ca:Llet is a featured article
Mstari 22: Mstari 22:


{{Link FA|es}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|ca}}


[[af:Melk]]
[[af:Melk]]

Pitio la 23:11, 27 Novemba 2011

Bilauri ya maziwa
Mwana mbuzi anakunywa maziwa

Maziwa ni kiowevu cheupe kinachotolewa na majike wa mamalia kama lishe kwa ajili ya watoto wao. Wanyama wadogo hulishwa kwa maziwa katika miezi ya kwanza ya maisha yao hadi kuzoea chakula cha kawaida.

Nje ya lishe ya wanyama changa maziwa hutumiwa na wanadamu kama kinywaji na chakula. Watu hufuga wanyama wanaotoa maziwa hasa ng'ombe kwa kusudi la kukamua maziwa yao. Wanyama wengine wanaofugwa na kukamuliwa kwa maziwa yao ni mbuzi, kondoo na ngamia.

Wanyama wengine wanaotoa maziwa kwa matumizi ya kibinadamu ni pamoja na kondoo, mbuzi, ngamia, farasi, punda na nyati.

Maziwa hunyewa au kuungwa katika upishi wa chakula. Tatizo la matumizi ya maziwa ni ya kwamba yanabadilika haraka. Inakamuliwa pamoja na vidubini ndani yake na pia vidubini vilivyomo hewani hupenda kuingia ndani yake kwa sababu maziwa yana lishe nyinge. Vidubini hivi vinasababisha kuchachuka kwa maziwa; mara nyingi ladha inaweza kubadilika kwa njia isiyotakiwa.

Kwa hiyo maziwa yanayotolewa kwenye viwanda vya maziwa hupata upasteurishaji na hutunzwa kwenye baridi chini ya kiwango cha sentigredi 7. Katika mazingira asilia maziwa yaliyochachuka hunyewa au kama yameganda huliwa.

Katika nchi nyingi maziwa hugandishwa na kukaushwa kuwa jibini. Maziwa katika umbo la jibini hutunzwa muda mrefu ni chakula bora. Njia nyingine ya kutunza maziwa ni kuondoa maji ndani yake kabisa na kutunza unga la maziwa.

Mafuta ya maziwa hutolewa mara nyingi kuwa krimu au siagi.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA