Paka-kaya : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nso:Katse |
d r2.7.2) (roboti Nyongeza: dsb:Domacna kócka |
||
Mstari 73: | Mstari 73: | ||
[[da:Kat]] |
[[da:Kat]] |
||
[[de:Hauskatze]] |
[[de:Hauskatze]] |
||
[[dsb:Domacna kócka]] |
|||
[[el:Γάτα]] |
[[el:Γάτα]] |
||
[[eml:Gàt]] |
[[eml:Gàt]] |
Pitio la 03:39, 16 Novemba 2011
Paka-kaya | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Paka-kaya
| ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Paka-kaya ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni sehemu ya familia ya Felidae wanaojumlisha paka pamoja na gwagu (paka wa porini) na felidae wakubwa kama simba, chui na duma.
Asili ya paka ni paka za porini walioanza kutafuta chakula karibu na makazi ya watu wa kale na kuwazoea. Watu walipenda paka kwa sababu paka hushika panya na wanyama wengine wadogo wanaoonekana ni waharibifu katika makazi ya watu. Kwa hiyo paka waliendelea kwa muda mrefu katika mazingira ya kibinadamu kama wawindaji wa panya waliolishwa na watu wakipewa mabaki ya chakula pia. Katika mazingira ya mjini paka hufugwa mara nyingi kama mnyama kipenzi hapati tena nafasi ya kuwinda.
Viungo vya nje
Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA