Lugha ya kuundwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: na:Edorer it eman Badiliko: vi:Ngôn ngữ được xây dựng
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: mg:Fiteny foronina
Mstari 55: Mstari 55:
[[lt:Dirbtinė kalba]]
[[lt:Dirbtinė kalba]]
[[lv:Mākslīgā valoda]]
[[lv:Mākslīgā valoda]]
[[mg:Fiteny foronina]]
[[mk:Вештачки јазик]]
[[mk:Вештачки јазик]]
[[ms:Bahasa buatan]]
[[ms:Bahasa buatan]]

Pitio la 21:02, 13 Novemba 2011

Lugha ya kuundwa (au lugha unde) ni lugha ambayo msamiati na sarufi zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na lugha asilia. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa lugha saidizi za kimataifa, lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.

Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto.

Mara chache lugha ya kuundwa maana yake ni lugha za kompyuta au za kuandaa programu (angalia lugha asilia). Kwa sababu ya utata huo watu wengi, hasa Waesperanto, hawapendi kutumia neno lugha ya kuundwa, na badala yake wanasema lugha ya kupangwa. Lakini msemo lugha ya kupangwa unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu.

Marejeo

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya kuundwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA