Ernest Gakeya Mabina : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Initial creation.
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:08, 12 Novemba 2011

Ernest Gakeya Mabina (amezaliwa tar. 15 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Geita katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

Marejeo

  1. "Mengi kuhusu Ernest Gakeya Mabina". 19 Julai 2006. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.