Tofauti kati ya marekesbisho "Mambo Huangamia"

Jump to navigation Jump to search
114 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
'''Mambo Huangamia''' (kwa Kiingereza "Things Fall Apart") ni riwaya iliyoandikwa na [[Chinua Achebe]]. Ilitolewa mwaka wa [[1958]]. Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na ''[[Hakuna Starehe Tena]]'' (1960) na ''[[Mshale wa Mungu]]'' (1964).
 
==Mkondo wa hadithi==
Mhusika mkuu anaitwa [[Okonkwo]], mtajiri katika kijiji cha [[Umuofia]]. Huyo Okonkwo hufuata mila na desturi za Kiigbo vizuri sana ili kumshinda babake ambaye ni mduni. Anavyofuata hizo mila ikambidi hata kumuua mwana wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja lakini Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka saba zinavyoamuru mila za kijiji. Uhamishoni Okonkwo anawakuta wamisionari Wazungu, akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali dini ya [[Ukristo]]. Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata maisha ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Anaanza kuupigia vita Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila akajiua kwa kujinyonga.
 
==Marejeo==
62,394

edits

Urambazaji