Albrecht Dürer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: kk:Альбрехт Дюрер
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Selbstporträt,_by_Albrecht_Dürer,_from_Prado_in_Google_Earth.jpg|thumb|Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498]]
[[Picha:Selbstporträt,_by_Albrecht_Dürer,_from_Prado_in_Google_Earth.jpg|thumb|Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498]]
'''Albrecht Dürer''' ([[21 Mei]], [[1471]] - [[6 Aprili]], [[1528]]) alikuwa mchoraji na mkata nakhshi [[Ujerumani|Mjerumani]]. Alifahamika pia kama mtaalamu wa [[hisabati]] hasa [[jiometria]]. Ahesabiwa kama msanii muhimu zaidi wa [[zama ya mwamko]] katika Ulaya ya kaskazini.
'''Albrecht Dürer''' ([[21 Mei]], [[1471]] - [[6 Aprili]], [[1528]]) alikuwa [[mchoraji]] na [[mkata nakhshi]]] [[Ujerumani|Mjerumani]]. Alifahamika pia kama mtaalamu wa [[hisabati]], hasa [[jiometria]]. Ahesabiwa kama [[msanii]] muhimu zaidi wa [[zama ya mwamko]] katika [[Ulaya ya kaskazini]].


== Mitindo ya kazi ==
== Mitindo ya kazi ==
Sehemu kubwa ya kazi za Dürer ni chapisho za picha nakhshi katika ubao au [[shaba]]. Alichora pia picha kwa rangi za mafuta na rangi za maji.
Sehemu kubwa ya kazi za Dürer ni chapisho za [[picha nakhshi]] katika [[ubao]] au [[shaba]]. Alichora pia [[picha]] kwa [[rangi za mafuta]] na [[rangi za maji]].


== Maisha ==
== Maisha ==
Dürer alizaliwa mjini [[Nürnberg]] alipoishi na kufa. Wakati ule Nürnberg ilikuwa mji tajiri wa biashara ya kimataifa. Baba yake alikuwa Mhungaria aliyemfundisha ufundi wa kuchonga dhahabu. Alipokuwa kijana alifanya matembezi ya miaka mitano katika Ujerumani, Uholanzi na Uswisi alipoboresha sanaa yake. Baadaye aliongeza safari ya kwenda Italia alipofanya kazi [[Venezia]] na kuona mengi.
Dürer alizaliwa mjini [[Nürnberg]] alipoishi na kufa. Wakati ule Nürnberg ilikuwa [[mji]] tajiri wa [[biashara ya kimataifa]].


[[Baba]] yake alikuwa [[Hungaria|Mhungaria]] aliyemfundisha [[ufundi]] wa kuchonga [[dhahabu]].
1494 alifunga ndoa na Agnes Frey akafungua karakana yake. Kazi mashuhuri ya kwanza ilikuwa mfululizo wa picha nakhshi katika ubao 15 kuhusu [[ufunuo za Yohane]].


Alipokuwa [[kijana]] alifanya matembezi ya miaka mitano katika Ujerumani, [[Uholanzi]] na [[Uswisi]] alipoboresha [[sanaa]] yake.
Aliendelea kuchora picha nyingi za kidini juu ya hadithi na watu wa Biblia. Lakini alitafutwa pia na matajiri na wakubwa waliotaka picha yao. Kuanzia 1512 aliajiriwa mara nyingi na [[Kaisari Maximilian I]].

Baadaye aliongeza safari ya kwenda [[Italia]] alipofanya kazi [[Venezia]] na kuona mengi.

Mwaka [[1494]] alifunga [[ndoa]] na Agnes Frey akafungua [[karakana]] yake. Kazi mashuhuri ya kwanza ilikuwa mfululizo wa picha nakhshi katika ubao 15 kuhusu [[Ufunuo wa Yohane]].

Aliendelea kuchora picha nyingi za [[dini]] juu ya [[habari]] na watu wa [[Biblia]]. Lakini alitafutwa pia na matajiri na wakubwa waliotaka picha zao.

Kuanzia mwaka [[1512]] aliajiriwa mara nyingi na [[Kaisari Maximilian I]].


=== Picha ===
=== Picha ===


<gallery perrow="5">
<gallery perrow="5">
Image:Albrecht-self.jpg|''Autoportrait''
Image:Albrecht-self.jpg|''Picha ya sura yake mwenyewe''
Image:Albrecht Dürer 072.jpg|Picha ya Barbara Dürer<br />([[1490]]-[[1493]])
Image:Albrecht Dürer 072.jpg|Picha ya Barbara Dürer<br />([[1490]]-[[1493]])
Image:Albrecht Dürer 057.jpg|Picha ya Mwanaume mbele ya ukuta yenye rangi kibichi ([[1497]])
Image:Albrecht Dürer 057.jpg|Picha ya Mwanamume mbele ya ukuta wenye rangi ya kibichi ([[1497]])
Image:Dürer Oswolt Krel.jpg|Picha ya Oswolt Krel'' ([[1499]])
Image:Dürer Oswolt Krel.jpg|Picha ya Oswolt Krel'' ([[1499]])
Image:Albrecht Dürer 076.jpg|Picha ya mtawala Frederiko wa Saksonia''' ([[1500]])
Image:Albrecht Dürer 076.jpg|Picha ya mtawala [[Frederiko wa Saksonia]]''' ([[1500]])
Image:Albrecht Dürer - Jakob Muffel - Google Art Project.jpg|Picha ya Jacob Muffel'' ([[1526]])
Image:Albrecht Dürer - Jakob Muffel - Google Art Project.jpg|Picha ya Jacob Muffel'' ([[1526]])
Image:Albrecht Dürer 002.jpg|''Adamu na Hawa''
Image:Albrecht Dürer 002.jpg|''[[Adamu]] na [[Hawa]]''
Image:Durer_Young_Hare.jpg|''Sungura'' ([[1502]])
Image:Durer_Young_Hare.jpg|''[[Sungura]]'' ([[1502]])
Image:Duerer-Prayer.jpg|''Sala'' ([[1508]])
Image:Duerer-Prayer.jpg|''[[Sala]]'' ([[1508]])
Image:Durer Revelation Four Riders.jpg|Farasi nne za Ufunuo wa Yohane
Image:Durer Revelation Four Riders.jpg|[[Farasi]] nne za Ufunuo wa Yohane
Image:Albrecht Dürer 106.jpg|Bwawa msituni
Image:Albrecht Dürer 106.jpg|Bwawa msituni
Image:Albrecht Dürer Letter A 1528.png|Herufi A
Image:Albrecht Dürer Letter A 1528.png|[[Herufi]] A
Image:Narrenschiff.JPG|"Mashua ya majuha"
Image:Narrenschiff.JPG|"Mashua ya majuha"
Image:Duerer - Ritter, Tod und Teufel (Der Reuther).jpg|''Mwanajeshi, Kifo na Sheitani'' ([[1513]])
Image:Duerer - Ritter, Tod und Teufel (Der Reuther).jpg|''[[Mwanajeshi]], [[Kifo]] na [[Shetani]]'' ([[1513]])
Image:DuererMuschellinie.png|Mchoro wa kijiometria
Image:DuererMuschellinie.png|Mchoro wa kijiometria
</gallery>
</gallery>

Pitio la 07:06, 6 Novemba 2011

Dürer alivyojichora mwenyewe mnamo 1498

Albrecht Dürer (21 Mei, 1471 - 6 Aprili, 1528) alikuwa mchoraji na mkata nakhshi] Mjerumani. Alifahamika pia kama mtaalamu wa hisabati, hasa jiometria. Ahesabiwa kama msanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko katika Ulaya ya kaskazini.

Mitindo ya kazi

Sehemu kubwa ya kazi za Dürer ni chapisho za picha nakhshi katika ubao au shaba. Alichora pia picha kwa rangi za mafuta na rangi za maji.

Maisha

Dürer alizaliwa mjini Nürnberg alipoishi na kufa. Wakati ule Nürnberg ilikuwa mji tajiri wa biashara ya kimataifa.

Baba yake alikuwa Mhungaria aliyemfundisha ufundi wa kuchonga dhahabu.

Alipokuwa kijana alifanya matembezi ya miaka mitano katika Ujerumani, Uholanzi na Uswisi alipoboresha sanaa yake.

Baadaye aliongeza safari ya kwenda Italia alipofanya kazi Venezia na kuona mengi.

Mwaka 1494 alifunga ndoa na Agnes Frey akafungua karakana yake. Kazi mashuhuri ya kwanza ilikuwa mfululizo wa picha nakhshi katika ubao 15 kuhusu Ufunuo wa Yohane.

Aliendelea kuchora picha nyingi za dini juu ya habari na watu wa Biblia. Lakini alitafutwa pia na matajiri na wakubwa waliotaka picha zao.

Kuanzia mwaka 1512 aliajiriwa mara nyingi na Kaisari Maximilian I.

Picha

Viungo

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA