Muwa : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.5) (roboti Nyongeza: am:ሸንኮራ ኣገዳ |
d r2.6.3) (roboti Nyongeza: sn:Nzimbe |
||
Mstari 110: | Mstari 110: | ||
[[simple:Sugarcane]] |
[[simple:Sugarcane]] |
||
[[sk:Cukrová trstina]] |
[[sk:Cukrová trstina]] |
||
[[sn:Nzimbe]] |
|||
[[sq:Kallam Sheqeri]] |
[[sq:Kallam Sheqeri]] |
||
[[sr:Шећерна трска]] |
[[sr:Шећерна трска]] |
Pitio la 10:34, 29 Oktoba 2011
Muwa (Saccharum spp.) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Miwa inayotoa maua
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Miwa (Saccharum spp.) ni aina za manyasi yanayotoa sukari. Asili yake ilikuwa Asia ya Mashariki na kutoka huko imesambazwa katika nchi za tropiki penye mazingira inayofaa kwake. Kilimo cha mmea huu ni chanzo cha sehemu kubwa ya sukari kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu na pia kwa sehemu kubwa ya ethanoli inayotengenzwa kwa matumizi ya biofueli.
Kilimo
Muwa hulimwa kote katika nchi za kitropiki ikiwa ni chanzo cha asilimia 55 ya mahitaji ya sukari duniani. Nchi zinazolima muwa nyingi ni (uzalishaji wa mwaka 2005 kwa tani 1.000)
- Brasilia (420.121)
- Uhindi (232.320)
- China (92.130)
- Thailand (49.572)
- Pakistan (47.244)
- Mexiko (45.127)[6]
Nchi za Afrika ya Mashariki huzalisha kiasi kidogo tu duniani kama Tanzania (tani 300,000), Kenya (5,112,000) na Uganda (2,350,000).[1].
Kati ya 204 hadi 2008 uzalishaji duniani ulionhezeka kutoka tani bilioni 1.34 kufikia tani bilioni 1.74. [2]
Picha
-
Majani
-
Miwa njano
-
Miwa myekundu
-
Shamba la miwa
-
Miwa iliyokatika
Marejeo
- ↑ takwimu 2008 ya FAO http://faostat.fao.org/site/567/DesktopDefault.aspx?PageID=567#ancor
- ↑ takwimu ya FAO Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO) FAOSTAT - Production - Crops
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |