Richard Laurence Millington Synge : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fa:ریچارد لاورنس ساینگ
Mstari 13: Mstari 13:


[[ar:ريتشارد سينج]]
[[ar:ريتشارد سينج]]
[[bg:Ричард Лорънс Милингтън Синг]]
[[bs:Richard Laurence Millington Synge]]
[[bs:Richard Laurence Millington Synge]]
[[ca:Richard Laurence Millington Synge]]
[[ca:Richard Laurence Millington Synge]]

Pitio la 15:47, 28 Oktoba 2011

Richard Lawrence Millington Synge (28 Oktoba, 191418 Agosti, 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mbinu za kutenganisha dutu zinazofanana. Mwaka wa 1952, pamoja na Archer John Porter Martin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Laurence Millington Synge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.