Kikoongo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ast, bn, br, ca, cs, da, de, eo, es, eu, fi, fr, gl, id, it, ja, kg, ko, ln, lt, nl, no, nov, pl, pms, pt, qu, ru, simple, sv, ta, tr, uk, wa, yo, zh
Kikongo
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kikoongo''' ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] ambako ni lugha ya kitaifa. Kinazungumzwa na [[Wakoongo]]. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo nchini [[Angola]] na [[Jamhuri ya Kongo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kikoongo kiko katika kundi la H10.
'''Kikoongo''' (pia: '''Kikongo''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] ambako inahesabiwa kati ya lugha 4 za kitaifa. Kinazungumzwa na [[Wakoongo]]. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo nchini [[Angola]] na [[Jamhuri ya Kongo]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kikoongo kiko katika kundi la H10.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 11:52, 28 Oktoba 2011

Kikoongo (pia: Kikongo) ni lugha ya Kibantu hasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambako inahesabiwa kati ya lugha 4 za kitaifa. Kinazungumzwa na Wakoongo. Idadi ya wasemaji wa Kikoongo kama lugha ya kwanza katika Jamhuri imehesabiwa kuwa watu milioni tatu; pamoja na hayo kuna watu milioni tano ambao huongea Kikoongo kama lugha ya pili. Tena kuna wasemaji wa Kikoongo nchini Angola na Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikoongo kiko katika kundi la H10.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.