Kinyamadege : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Ondoa: la:Ornithorhynchus (deleted)
d r2.5.4) (roboti Nyongeza: zh-min-nan:Ah-chhùi-siū
Mstari 90: Mstari 90:
[[vi:Thú mỏ vịt]]
[[vi:Thú mỏ vịt]]
[[zh:鸭嘴兽]]
[[zh:鸭嘴兽]]
[[zh-min-nan:Ah-chhùi-siū]]
[[zh-yue:鴨嘴獸]]
[[zh-yue:鴨嘴獸]]

Pitio la 06:52, 28 Oktoba 2011

Kinyamadege

Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Monotremata (Mamalia wenye tundu moja nyuma (kloaka))
Nusuoda: Platypoda
Familia: Ornithorhynchidae (Wanyama walio na mnasaba na kinyamadege)
Jenasi: Ornithorhynchus
Blumenbach, 1800
Spishi: O. anatinus
(Shaw, 1799)

Kinyamadege au domobata ni mamalia wa Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ile ya fisi-maji na mkia kama biva. Ni moja ya spishi tano za mamalia watagao mayai.


Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinyamadege kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.