Christian Anfinsen : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: left|80px '''Christian Boehmer Anfinsen''' (26 Machi, 191614 Mei, 1995) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza ...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:09, 15 Agosti 2007

Christian Boehmer Anfinsen (26 Machi, 191614 Mei, 1995) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya mfumo wa protini na athari zake mwilini. Mwaka wa 1972, pamoja na Stanford Moore na William Stein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.