Paul Simon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: nl:Paul Simon (artiest)
d r2.6.4) (roboti Badiliko: fr:Paul Simon (chanteur)
Mstari 20: Mstari 20:
[[fa:پل سایمون]]
[[fa:پل سایمون]]
[[fi:Paul Simon]]
[[fi:Paul Simon]]
[[fr:Paul Frederic Simon]]
[[fr:Paul Simon (chanteur)]]
[[gl:Paul Simon]]
[[gl:Paul Simon]]
[[he:פול סיימון]]
[[he:פול סיימון]]

Pitio la 21:20, 14 Oktoba 2011

Paul Simon, 1990

Paul Simon ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa. Amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi; moja ya makundi hayo ni Ladysmith Black Mambazo. Nyimbo alizowahi kuimba ni "Homeless", "Mother and child reunion" na "Diamond in the sole of her shoes".

Paul Simon alizaliwa tarehe 13 Oktoba, 1941 katika mji wa Newark Height, New Jersey. Huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi. Aliwahi kufunga ndoa mara tatu, ana watoto wanne. Mmojawapo ni mpigaji gitaa kama baba yake.

Makala hii kuhusu muziki wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Simon kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.