Norman Haworth : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: left|80px '''Walter Norman Haworth''' (19 Machi, 188319 Machi, 1950) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kw...
 
dNo edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
[[Category:Waliofariki 1950]]
[[Category:Waliofariki 1950]]
[[Category:Wanasayansi wa Uingereza]]
[[Category:Wanasayansi wa Uingereza]]
[[Category:Watu waliopewa cheo cha “Sir”]]
[[Category:Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Kemia]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Kemia]]



Pitio la 09:23, 13 Agosti 2007

Walter Norman Haworth (19 Machi, 188319 Machi, 1950) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kuchunguza mfumo wa vitamini C. Mwaka wa 1937, pamoja na Paul Karrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1947 alipewa cheo cha "Sir".