Orodha ya Messier : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Badiliko: sr:Mesjeov katalog
d The file Image:Messier.all.750pix.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Jcb: ''Copyright violation: As stated below: ''Excepting the use of my artworks and pictures by professionals that request roya
Mstari 1: Mstari 1:

[[Image:Messier.all.750pix.jpg|thumb|350px|Picha za nebula, nyota na galaksi zote za orodha ya Messier kuanzia M1 hadi M110]]
'''Orodha ya Messier''' ni [[orodha ya nyota]] iliyoandikwa na mwanaastronomia Mfaransa [[Charles Messier]] kati ya 1764 na 1782.
'''Orodha ya Messier''' ni [[orodha ya nyota]] iliyoandikwa na mwanaastronomia Mfaransa [[Charles Messier]] kati ya 1764 na 1782.



Pitio la 23:03, 5 Oktoba 2011

Orodha ya Messier ni orodha ya nyota iliyoandikwa na mwanaastronomia Mfaransa Charles Messier kati ya 1764 na 1782.

Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama nebula (wingu dogo linalogn'aa) zisizotembea angani kwa hiyo hazikuwa nyotamkia. Akaamua kuziorodhesha.

Orodha hii ilikuwa orodha ya kwanza iliyokubaliwa na wanaastronomia wengi kimataifa. Nyota na nebula zake zilijulikana kufuatana na namba jinsi zilivyoandikwa katika orodha ya Messier yaani M1, M2 na kadhalika. M1 ni nebula ya kaa, M45 ni fungunyota ya kilimia na galaksi ya Andromeda ni M31.

Kuna namba 110 katika orodha hii.

Orodha za nyota za kisasa zinaonyesha nyota malakhi lakini namba za Messier zinaendelea kutumiwa hadi leo kwa vitu vinavyoorodhesha kwake.