Port Bell : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4: Mstari 4:

Kuna viwanda kadhaa kama vile [[Kiwanda cha Bia]] cha [[Uganda Breweries]]; [[bia]] ya [[Bell Lager]] inatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya [[Waragi]] na kiwanda cha chai.
Kuna viwanda kadhaa kama vile [[Kiwanda cha Bia]] cha [[Uganda Breweries]]; [[bia]] ya [[Bell Lager]] inatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya [[Waragi]] na kiwanda cha chai.

[[en:Port Bell]]
[[de:Port Bell]]

Pitio la 17:36, 4 Februari 2006

Port Bell ni mji mdogo karibu na Kampala/ Uganda ufukoni wa ziwa la Viktoria Nyanza. Jina la mji limetokana na Sir Hesketh Bell aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.

Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinatoka kwenda Jinja, Kisumu na Mwanza.

Kuna viwanda kadhaa kama vile Kiwanda cha Bia cha Uganda Breweries; bia ya Bell Lager inatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya Waragi na kiwanda cha chai.