Mkoa wa Kırklareli : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: pnb:صوبہ کرکلاریلی |
d r2.5.1) (roboti Nyongeza: ro:Provincia Kırklareli |
||
Mstari 69: | Mstari 69: | ||
[[pnb:صوبہ کرکلاریلی]] |
[[pnb:صوبہ کرکلاریلی]] |
||
[[pt:Kırklareli (província)]] |
[[pt:Kırklareli (província)]] |
||
[[ro:Provincia Kırklareli]] |
|||
[[ru:Кыркларели (ил)]] |
[[ru:Кыркларели (ил)]] |
||
[[sl:Kırklareli (provinca)]] |
[[sl:Kırklareli (provinca)]] |
Pitio la 21:19, 28 Septemba 2011
Mkoa wa Kırklareli | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kırklareli nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Marmara |
Eneo: | 6,550 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 326,950 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 39 |
Kodi ya eneo: | 0288 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kırklareli.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kırklareli |
Kırklareli ni jina la mkoa uliopo mjini kaskaini-magharibi mwa nchi ya Uturuki. Mkoa upo kwenye pwani ya Bahari Nyeusi. Mkoa umepakana vilivyo na mapaka wa nchi ya Bulgaria kiasi cha kilomita 180 kutoka mkoani hapa. Unapaka na mkoa wa Edirne kwa upande wa magahribi na Tekirdağ kwa upande wa kusini na Istanbul kwa upande wa kusini-mashariki ya nchi. Kırklareli ndiyo mji wake mkuu wa mkoa huu.
Wilaya za mkaoni hapa
Mkoa wa Kırklareli umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
- Kırklareli Weather Forecast Information
- Forum of Kırklareli University
- Kırklareli News
- Kırklareli Photos
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kırklareli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |