Tofauti kati ya marekesbisho "Gujarat"

Jump to navigation Jump to search
3 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
d
Fix langos and minor fixes using AWB
d (r2.7.1) (roboti Ondoa: nap:Gujarat)
d (Fix langos and minor fixes using AWB)
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat]]
[[Picha:Gujarat locator map.svg|thumb|right|250px|Ramani ya Gujarat]]
'''Gujarat''' ni [[jimbo]] la kujitawala ndani ya [[shirikisho]] la [[Uhindi]]. Mji mkuu ni [[Gandhinagar]] ambayo ni mji mpya uliopewa jina lake kwa kwa heshima ya [[Mahatma Gandhi]] alyiezaliwa Gujarat.
 
Gujarat ina eneo la 196,024 [[km²]] zinazokaliwa na wakazi milioni 50. Lugha rasmi ni [[Kigujarati]] inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi. Watu wengi ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).
 
== Viungo vya nje ==
* {{en}} [http://www.gujaratindia.com/ Tovuti rasmi]
 
{{commonsCommons}}
{{India}}
{{mbeguMbegu-jio-Uhindi}}
 
[[Jamii:Majimbo ya Uhindi]]
9,497

edits

Urambazaji