Sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ig:Amamihe
d Fix langos and minor fixes using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sayansi''' ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa.

==Aina Za Sayansi==

== Aina Za Sayansi ==
[[Picha:Astronaut-EVA.jpg|thumb|right|350px|Kufikia kati kati ya [[Karne ya 20]] binadamu ameweza kukua kisayansi na hivyo kuvumbua tekinolojia zilizomwezesha kuruka na kuelea anga za juu kabisa za [[Dunia]] kwa mara ya kwanza na [[Uchunguzi wa Spezi|kuchunguza spezi]].]]

Mstari 32: Mstari 31:
* [[Tiba]]
* [[Tiba]]

==Metodi za Kisayansi==

== Metodi za Kisayansi ==

Msingi wa sayansi ni vitendo.
Msingi wa sayansi ni vitendo.

Mstari 43: Mstari 40:
Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni [[mtazamo]] unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba [[nadharia]]. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika.

== Sura ya Kisayansi ==
==Sura ya Kisayansi==
[[Picha:Glowing tobacco plant.jpg|thumb|250px|right|Sayansi siku zote hutafuta kuongeza uelewa na , kadri inavyowezekana, uwezekano wa kumudu vipengele maalum vya [[Asili|Ulimwengu wa maumbile]]. Mafanikio yake katika kufikia hapa, hutoka katika shina la moja kwa moja tokea uwezo wake kuweka wazi misingi ya makanika ambayo hali asilia huchakata. Hapa, picha ya [[Mwako wa kibayo]] ''Bosheni'' ambao umekachiwa katika zao la tumbaku kwa kutumia [[Uhandisi ginetiki]].]]

Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kuwa pingifu ya Hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya [[atomu]] inasema kwamba katika Jiwe ([[Maada Yabisi]]) kuna uvungu ( [[dutu tupu]]), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na [[maada kimiminika]]. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.

==Historia==

== Historia ==

=== Sura ya Kiutamaduni ===
=== Sura ya Kiutamaduni ===

Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja; lakini kadri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wakujitenga. hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo ilionekana kama ni shauku la mtu mmoja mmoja kama awali.

Mstari 61: Mstari 54:

=== Sayansi Na Siasa Za dunia ===
=== Sayansi Na Siasa Za dunia ===

Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.

Mstari 67: Mstari 59:

=== Sayansi Na Maendeleo ===
=== Sayansi Na Maendeleo ===

Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu kuwa mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.

Na hivyo roho ya uchunguzi ndio iliyoleta kuzaliwa, kukua na kutapakaa kwa sayansi.

{{Lango|Sayansi|Katomic.svg}}
{{Lango|Sayansi}}

{{Mbegu-sayansi}}

{{mbegu-sayansi}}

[[Jamii:Sayansi]]
[[Jamii:Sayansi]]

{{Link FA|nl}}
{{Link FA|nl}}

[[af:Wetenskap]]
[[af:Wetenskap]]
[[am:ሳይንስ]]
[[am:ሳይንስ]]

Pitio la 00:55, 16 Septemba 2011

Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa.

Aina Za Sayansi

Kufikia kati kati ya Karne ya 20 binadamu ameweza kukua kisayansi na hivyo kuvumbua tekinolojia zilizomwezesha kuruka na kuelea anga za juu kabisa za Dunia kwa mara ya kwanza na kuchunguza spezi.

Kuna sayansi mbalimbali ambazo huainishwa katika:

Sayansi Asili k.m.

Sayansi Umbile k.m.

Sayansi Jamii k.m.

Sayansi Tumizi k.m.

Pia, kuna sayansi zinahusu mada mbalimbali:

Metodi za Kisayansi

Msingi wa sayansi ni vitendo.

Vitendo vya Kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.

Namna ya kueleza jambo kisayansi huchimbuka toka Nadharia ama Udhanifu. Halafu tena ili Kweli ikubalike; hutoka kwenye udhanifu; kwa kupitia kupitia majaribio rasmi, hutengeneza dhana kamili ama nadharia kama ni shauri la kueleza mwenendo na tabia.

Kwa hivyo, asili ya njia ya kisayansi ni mtazamo unaokwenda sambamba na vitendo vinavyochunguzwa. Kutoka mitazamo wanasayansi wanaumba nadharia. Baadaye wanaangalia kama bashiri za nadharia ni kweli. Isipokuwa kweli watakanusha nadharia hii. Ikionekana kwamba mara nyingi sana nadharia ilibashiri ukweli, na haijakosea, itakuwa ni nadharia inayokubalika.

Sura ya Kisayansi

Faili:Glowing tobacco plant.jpg
Sayansi siku zote hutafuta kuongeza uelewa na , kadri inavyowezekana, uwezekano wa kumudu vipengele maalum vya Ulimwengu wa maumbile. Mafanikio yake katika kufikia hapa, hutoka katika shina la moja kwa moja tokea uwezo wake kuweka wazi misingi ya makanika ambayo hali asilia huchakata. Hapa, picha ya Mwako wa kibayo Bosheni ambao umekachiwa katika zao la tumbaku kwa kutumia Uhandisi ginetiki.

Mara chache, maarifa yatokanayo na sayansi yanaweza kuwa pingifu ya Hali ya kawaida. Kwa mfano nadharia ya atomu inasema kwamba katika Jiwe (Maada Yabisi) kuna uvungu ( dutu tupu), na kwamba atomi zinacheza katika nafasi ndogo katika jiwe ukifananisha na maada kimiminika. Lakini kwa nadharia hii tunaweza kueleza mambo mengi, hata kwa nini tunaweza kusema kwamba jiwe halina uvungu.

Historia

Sura ya Kiutamaduni

Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja; lakini kadri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wakujitenga. hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo ilionekana kama ni shauku la mtu mmoja mmoja kama awali.

Hii hufanya mkururo wa ugunduzi ama uvumbuzi kuwa ni sehemu ya historia ya Sayansi. Majina na sifa kutajwa sambamba na shauri la aliyepelekea.

Sayansi na Jamii huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.

Sayansi Na Siasa Za dunia

Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.

Ingawaje haibanishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni nguvu inayoweza kubadili maisha ya watu kwa wema; lakini katika kilele chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu kimamlaka na fedha hushikilia baadhi ya matunda yake katika hali ya kibiashara na kiutawala zaidi.

Sayansi Na Maendeleo

Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu kuwa mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.

Na hivyo roho ya uchunguzi ndio iliyoleta kuzaliwa, kukua na kutapakaa kwa sayansi.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sayansi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA