Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho
d interwiki |
d Fix langos and minor fixes using AWB |
||
Mstari 6: | Mstari 6: | ||
[[Picha:First.Crusade.Map.jpg|thumb|300px|Ulaya 1000]] |
[[Picha:First.Crusade.Map.jpg|thumb|300px|Ulaya 1000]] |
||
'''Ulaya''' ni [[bara]]: eneo la Ulaya ni 10,600,000 km² na wakazi ni 700 milioni. |
'''Ulaya''' ni [[bara]]: eneo la Ulaya ni 10,600,000 km² na wakazi ni 700 milioni. |
||
Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa [[Umoja wa Mataifa]] ''(UN categorisations/map)''. |
Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa [[Umoja wa Mataifa]] ''(UN categorisations/map)''. |
||
== |
==Utawala== |
||
Baada ya [[Vita Kuu ya Dunia|vita kuu mbili]] nchi mbalimbali za Ulaya zilianza kushirikiana kwa njia mbalimbali katika [[karne ya 20]] : |
Baada ya [[Vita Kuu ya Dunia|vita kuu mbili]] nchi mbalimbali za Ulaya zilianza kushirikiana kwa njia mbalimbali katika [[karne ya 20]] : |
||
* [[Baraza ya Ulaya]] ina nchi wanachama 47 |
* [[Baraza ya Ulaya]] ina nchi wanachama 47 |
||
Mstari 14: | Mstari 14: | ||
* [[Umoja wa Ulaya]] mwenye nchi wanachama 27 tangu mwaka 2007. |
* [[Umoja wa Ulaya]] mwenye nchi wanachama 27 tangu mwaka 2007. |
||
== |
==Kanda za Ulaya== |
||
=== Ulaya ya Kati === |
=== Ulaya ya Kati === |
||
Mpangilio ufuatao unafuata ratiba ya [[Umoja wa Mataifa]]. Lakini utaratibu huu haukubaliki ndani ya Ulaya kwa nchi za [[Ulaya ya Kati]]. [[Ujerumani|Wajerumani]], [[Austria|Waaustria]], [[Uswisi|Waswisi]], [[Ucheki|Wacheki]], [[slovakia|Waslovakia]] na [[poland|Wapoland]] hukubaliana ya kwamba wenyewe si Ulaya ya Magharibi wala ya Mashariki lakini Ulaya ya Kati. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali la Hungaria au Latvia. |

==Orodha ya nchi na maeneo== |
||
{| border="1" cellpadding="4" cellspacing="0" style="border:1px solid #aaa; border-collapse:collapse" |
{| border="1" cellpadding="4" cellspacing="0" style="border:1px solid #aaa; border-collapse:collapse" |
||
|- bgcolor="#ECECEC" |
|- bgcolor="#ECECEC" |
||
Mstari 24: | Mstari 24: | ||
! [[Orodha ya nchi kufuatana na eneo|Eneo]]<br />(km²) |
! [[Orodha ya nchi kufuatana na eneo|Eneo]]<br />(km²) |
||
! [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi|Wakazi]]<br />(mnamo Julai 2002 takriban) |
! [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi|Wakazi]]<br />(mnamo Julai 2002 takriban) |
||
! [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi kwa km²|Wakazi kwa km²]] |
! [[Orodha ya nchi kufuatana na wakazi kwa km²|Wakazi kwa km²]] |
||
! [[Mji Mkuu]] |
! [[Mji Mkuu]] |
||
|- |
|- |
||
| colspan=5 style="background:#eee;" | |
| colspan=5 style="background:#eee;" | |
||
=== '''[[Ulaya ya Mashariki]]:''' === |
=== '''[[Ulaya ya Mashariki]]:''' === |
||
|- |
|- |
||
| [[Picha:Flag of Belarus.svg|left|30px]] [[Belarus]] |
| [[Picha:Flag of Belarus.svg|left|30px]] [[Belarus]] |
||
Mstari 91: | Mstari 90: | ||
| align="right" | 80.2 |
| align="right" | 80.2 |
||
| [[Kiev]] |
| [[Kiev]] |
||
|- |
|- |
||
| colspan=5 style="background:#eee;" | |
| colspan=5 style="background:#eee;" | |
||
Mstari 250: | Mstari 249: | ||
| [[Podgorica]] |
| [[Podgorica]] |
||
|- |
|- |
||
| [[Picha:Flag of Portugal.svg|left|30px]] [[Ureno]] <small>(6) |
| [[Picha:Flag of Portugal.svg|left|30px]] [[Ureno]] <small>(6) |
||
| align="right" | 91,568 |
| align="right" | 91,568 |
||
| align="right" | 10,084,245 |
| align="right" | 10,084,245 |
||
Mstari 349: | Mstari 348: | ||
|- |
|- |
||
| [[Picha:Flag of Armenia.svg|left|30px]] [[Armenia]] <small>(10) |
| [[Picha:Flag of Armenia.svg|left|30px]] [[Armenia]] <small>(10) |
||
| align="right" | 29,800 |
| align="right" | 29,800 |
||
| align="right" | — |
| align="right" | — |
||
| align="right" | — |
| align="right" | — |
||
Mstari 371: | Mstari 370: | ||
| align="right" | 49.7 |
| align="right" | 49.7 |
||
| [[Tbilisi]] |
| [[Tbilisi]] |
||
|- |
|- |
||
| [[Picha:Flag of Turkey.svg|left|30px]] [[Uturuki]] <small>(14) |
| [[Picha:Flag of Turkey.svg|left|30px]] [[Uturuki]] <small>(14) |
||
| align="right" | 24,378 |
| align="right" | 24,378 |
||
Mstari 414: | Mstari 413: | ||
<small>11. [[Azerbaijan]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee. |

<small>12. [[Kupro]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Kusini; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu zisozo chini ya Dola ya Kituruki ya Cyprus. |

<small>13. [[Georgia (nchi)|Georgia]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee. |

<small>14. [[Uturuki]] ni [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Kusini; namba zinazotajwa zinahusiana na sehemu ndogo ya Magharibi pakee iliyomo Ulaya hasa jimbo lote la [[Istanbul]]. |

<small>15. [[Kazakhstan]] huhesabiwa mara nyingi kuwa [[nchi ya kimabara]] katika Asia ya Magharibi ([[:Image:United Nations geographical subregions.png|kufuatana na kanda za UM]]) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee. |

==Tazama pia== |
||
{{Lango|Ulaya |
{{Lango|Ulaya}} |
||
{{Ulaya}} |
{{Ulaya}} |
||
Mstari 431: | Mstari 430: | ||
{{Link FA|lmo}} |
{{Link FA|lmo}} |
||
[[ab:Европа]] |
[[ab:Европа]] |
||
[[ace:Iërupa]] |
[[ace:Iërupa]] |
Pitio la 00:54, 16 Septemba 2011
Ulaya ni bara: eneo la Ulaya ni 10,600,000 km² na wakazi ni 700 milioni. Katika orodha inayofuata kanda zinatajwa katika utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN categorisations/map).
Utawala
Baada ya vita kuu mbili nchi mbalimbali za Ulaya zilianza kushirikiana kwa njia mbalimbali katika karne ya 20 :
- Baraza ya Ulaya ina nchi wanachama 47
- Mkutano wa usalama na ushirikiano katika Ulaya (Marekani na Kanada ni wanachama pia)
- Umoja wa Ulaya mwenye nchi wanachama 27 tangu mwaka 2007.
Kanda za Ulaya
Ulaya ya Kati
Mpangilio ufuatao unafuata ratiba ya Umoja wa Mataifa. Lakini utaratibu huu haukubaliki ndani ya Ulaya kwa nchi za Ulaya ya Kati. Wajerumani, Waaustria, Waswisi, Wacheki, Waslovakia na Wapoland hukubaliana ya kwamba wenyewe si Ulaya ya Magharibi wala ya Mashariki lakini Ulaya ya Kati. Kuna majadiliano kuhusu mipaka ya kanda hili yasiyokwisha bado, kwa mfano swali la Hungaria au Latvia.
Orodha ya nchi na maeneo
Jina la nchi au eneo, bendera |
Eneo (km²) |
Wakazi (mnamo Julai 2002 takriban) |
Wakazi kwa km² | Mji Mkuu |
---|---|---|---|---|
Ulaya ya Mashariki: | ||||
Belarus | 207,600 | 10,335,382 | 49.8 | Minsk |
Bulgaria | 110,910 | 7,621,337 | 68.7 | Sofia |
Ucheki | 78,866 | 10,256,760 | 130.1 | Praha |
Hungaria | 93,030 | 10,075,034 | 108.3 | Budapest |
Moldova | 33,843 | 4,434,547 | 131.0 | Kishineu |
Poland | 312,685 | 38,625,478 | 123.5 | Warshawa |
Romania | 238,391 | 21,698,181 | 91.0 | Bukarest |
Urusi (2) | 3,960,000 | 106,037,143 | 26.8 | Moscow |
Slovakia | 48,845 | 5,422,366 | 111.0 | Bratislava |
Ukraine | 603,700 | 48,396,470 | 80.2 | Kiev |
Ulaya ya Kaskazini: | ||||
Denmark | 43,094 | 5,368,854 | 124.6 | Kopenhagen |
Estonia | 45,226 | 1,415,681 | 31.3 | Tallinn |
Visiwa vya Faroe (Denmark) | 1,399 | 46,011 | 32.9 | Tórshavn |
Finland | 337,030 | 5,183,545 | 15.4 | Helsinki |
Guernsey (3) | 78 | 64,587 | 828.0 | St Peter Port |
Iceland | 103,000 | 279,384 | 2.7 | Reykjavík |
Eire (Ireland ) | 70,280 | 3,883,159 | 55.3 | Dublin |
Kisiwa cha Man (3) | 572 | 73,873 | 129.1 | Douglas |
Jersey (3) | 116 | 89,775 | 773.9 | Saint Helier |
Latvia | 64,589 | 2,366,515 | 36.6 | Riga |
Lituanya | 65,200 | 3,601,138 | 55.2 | Vilnius |
Norwei | 324,220 | 4,525,116 | 14.0 | Oslo |
Visiwa vya Svalbard and Jan Mayen (Norway) |
62,049 | 2,868 | 0.046 | Longyearbyen |
Uswidi | 449,964 | 8,876,744 | 19.7 | Stockholm |
Uingereza (Ufalme wa Maungano) | 244,820 | 59,778,002 | 244.2 | London |
Ulaya ya Kusini: | ||||
Albania | 28,748 | 3,544,841 | 123.3 | Tirana |
Andorra | 468 | 68,403 | 146.2 | Andorra la Vella |
Bosnia na Herzegovina | 51,129 | 3,964,388 | 77.5 | Sarayevo |
Kroatia | 56,542 | 4,390,751 | 77.7 | Zagreb |
Gibraltar (Uingereza) | 5.9 | 27,714 | 4,697.3 | Gibraltar |
Ugiriki | 131,940 | 10,645,343 | 80.7 | Athens |
Italia | 301,230 | 57,715,625 | 191.6 | Roma |
Masedonia | 25,333 | 2,054,800 | 81.1 | Skopje |
Malta | 316 | 397,499 | 1,257.9 | Valletta |
Montenegro | 316 | 397,499 | 1,257.9 | Podgorica |
Ureno (6) | 91,568 | 10,084,245 | 110.1 | Lisbon |
San Marino | 61 | 27,730 | 454.6 | San Marino |
Serbia | 102,173 | 10,280,000 | 100.6 | Belgrad |
Slovenia | 20,273 | 1,932,917 | 95.3 | Lyublyana |
Hispania (7) | 498,506 | 40,077,100 | 80.4 | Madrid |
Mji wa Vatikani | 0.44 | 900 | 2,045.5 | Mji wa Vatikani |
Ulaya ya Magharibi: | ||||
Austria | 83,858 | 8,169,929 | 97.4 | Vienna |
Ubelgiji | 30,510 | 10,274,595 | 336.8 | Brussels |
Ufaransa (8) | 547,030 | 59,765,983 | 109.3 | Paris |
Ujerumani (Udachi) | 357,021 | 83,251,851 | 233.2 | Berlin |
Liechtenstein | 160 | 32,842 | 205.3 | Vaduz |
Luxemburg | 2,586 | 448,569 | 173.5 | Luxemburg |
Monako | 1.95 | 31,987 | 16,403.6 | Monako |
Uholanzi (9) | 41,526 | 16,318,199 | 393.0 | Amsterdam, Den Haag |
Uswisi | 41,290 | 7,301,994 | 176.8 | Bern |
Asia ya Magharibi: | ||||
Armenia (10) | 29,800 | — | — | Yerevan |
Azerbaijan (11) | 39,730 | 4,198,491 | 105.7 | Baku |
Kupro (12) | 5,995 | 780,133 | 130.1 | Nikosia (Lefkosa) |
Georgia (13)} | 49,240 | 2,447,176 | 49.7 | Tbilisi |
Uturuki (14) | 24,378 | 11,044,932 | 453.1 | Ankara |
Asia ya Kati: | ||||
Kazakhstan (15) | 370,373 | 1,285,174 | 3.4 | Astana |
Total | 10,431,299 | 709,022,061 | 68.0 |
Notes:
1. Kanda zinazotajwa (Ulaya ya Kusini – magharibi n.k.) zinafuata utaratibu wa Umoja wa Mataifa UN categorisations/map. Nchi kadhaa zinazotajwa hapo chini zinaweza kuhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya na pia bara nyingine (Asia, Africa, au Oceania). Hii inategemea na namna ya kugawa kontinenti; pia wakazi wenyewe wanaweza kujielewa tofauti na majirani yao.
2. Urusi ni nchi ya kontinenti mbili za Ulaya ya Mashariki na Asia; namba za wakazi na za eneo zimetasjwa kwa ajili ya sehemu ya Kiulaya pekee.
3–5. Guernsey, Kisiwa cha Man, and Jersey ni maeneo ya kujitegema chini ya Taji la Ufalme wa Uingereza.
6. Namba za Ureno hazijumlishi Visiwa vya Madeira, ambazo ni sehemu ya Ureno magharibi ya Marokko katika Afrika.
7. Namba za Hispania hazijumlishi Visiwa vya Kanari magharibi ya Marokko katika Afrika, wa maeneo ya Ceuta na Melilla ambayo ni sehemu za Hispania kwenye pwani la Marokko, Afrika ya Kaskazini.
8. Namba za Ufaransa hazijumlishi maeneo yake yaliyopo Amerika ya Kati au Kusini, Bahari Hindi au Oceania.
9. Uholanzi: Idadi ya wakazi ni ya 2004; Amsterdam ni Mji Mkuu lakini Den Haag ni makao makuuy a serikali.
10. Armenia huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki
11. Azerbaijan huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
12. Kupro huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Kusini; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu zisozo chini ya Dola ya Kituruki ya Cyprus.
13. Georgia huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.
14. Uturuki ni nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Kusini; namba zinazotajwa zinahusiana na sehemu ndogo ya Magharibi pakee iliyomo Ulaya hasa jimbo lote la Istanbul.
15. Kazakhstan huhesabiwa mara nyingi kuwa nchi ya kimabara katika Asia ya Magharibi (kufuatana na kanda za UM) na Ulaya ya Mashariki; idadi ya wakazi na eneo zimetajwa za sehemu ya Ulaya pekee.