Tofauti kati ya marekesbisho "Ulaya ya Kaskazini"

Jump to navigation Jump to search
28 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
d
Fix langos and minor fixes using AWB
d (r2.6.5) (roboti Nyongeza: az:Şimali Avropa)
d (Fix langos and minor fixes using AWB)
[[Picha:Northern-Europe-map-extended.png|thumb|right|280px|Ulaya ya Kaskazini na nchi zinazokubaliwa kwa kawaida kuwa sehemu zake]][[Picha:United Nations geographical subregions.png|thumb|520px|right|Kanda za [[UM]] linaonyesha visiwa vya Britania kuwa sehemu ya Ulaya ya Kaskazini.]]
 
'''Ulaya ya Kaskazini''' ni sehemu ya kaskazini ya bara la [[Ulaya]]. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili.
 
Kwa hakika tamko hili lamaanisha:
* Nchi za [[Skandinavia]] pamoja na [[Denmark]], [[Ufini]], [[Iceland]], [[Norwei]] na [[Uswidi]], pia visiwa vya [[Faroe]].
* [[Nchi za Kibalti]] yaani [[Estonia]], [[Latvia]] na [[Lithuania]].
 
* Mara nyingi ama sehemu ya kaskazini ya [[Britania]] (=[[Uskoti]]) au [[funguvisiwa ya Britania]] yote huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya ya kaskazini yaani [[Uingereza]], [[Uskoti]], [[Welisi]], [[Ueire]] na [[kisiwa cha Man]].
 
* Wakati mwingine hata nchi nyingine kando la [[Bahari ya Baltiki]] kama Urusi ya kaskazini-magharibi, Poland ya kaskazini, Ujerumani ya Kaskazini zinahesabiwa humo.
 
{{Lango|Ulaya|Europe green light.svg}}
 
[[Jamii:Ulaya]]
9,527

edits

Urambazaji