Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho
d r2.5.5) (roboti Nyongeza: en:Books of Samuel |
d r2.5.5) (roboti Nyongeza: ta:1 சாமுவேல் (நூல்) |
||
Mstari 44: | Mstari 44: | ||
[[sm:O le tusi muamua Samuelu]] |
[[sm:O le tusi muamua Samuelu]] |
||
[[sv:Första Samuelsboken]] |
[[sv:Första Samuelsboken]] |
||
[[ta:1 சாமுவேல் (நூல்)]] |
Pitio la 10:15, 8 Septemba 2011
Kitabu cha kwanza cha Samueli kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samweli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.
Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya Kigiriki) inayojulikana kama Septuaginta na katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
Hata hivyo mada yake na ya Kitwabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa Israeli chini ya Samueli aliyewapaka mafuta awaweke wakfu mfalme Sauli halafu mfalme Daudi.
Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.
Kwa habari zaidi tazama Vitabu vya Samweli.
Viungo vya nje
Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki
Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.