Hadithi za Mtume Muhammad : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tengua pitio 656175 lililoandikwa na 196.41.36.130 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Islam}}
'''Hadithi''' au Sunnah ni maneno na vitendo ambavyo Mtume Muhammad alikuwa akisema au akifanya katika kipindi hiki cha [[Utume]]. Hadithi hizi ni moja ya miongozo ya kiimani kwa Waislamu. Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona au kuyasikia katika muda wa Utume wake akalinyamazia kimya au akawa hakulipinga na akalikubali.
'''Hadithi''' au Sunnah ni maneno na vitendo ambavyo [[Mtume Muhammad]] alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha [[utume]]. [[Hadithi]] hizi ni moja ya miongozo ya [[imani]] kwa [[Waislamu]]. Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona au kuyasikia katika muda wa utume wake akalinyamazia [[kimya]] au akawa hakulipinga na akalikubali.


[[Muhammad]] aliishi miaka kama arobaini bila kuwa na Imani ya [[Mungu]]. Kisha Mwenyezi Mungu akamletea mjumbe kutoka kwake aitwaye [[Jibrili]] inayeaminika kuwa ndiye aliyempa aya zilizoko katika msahafu wa [[Waislamu]], [[Kurani]]. Inaelezwa kuwa Jibrili alimpa Muhammad aya hizo kwa muda wa miaka ishirini na tatu mpaka alipofariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.
[[Muhammad]] aliishi miaka kama arobaini bila kuwa na imani ya [[Mungu]] pekee. Kisha Mwenyezi Mungu akamletea mjumbe kutoka kwake aitwaye [[malaika]] [[Jibrili]] anayeaminika kuwa ndiye aliyempa [[aya]] zilizoko katika [[msahafu]] wa Waislamu, [[Kurani]]. Inaelezwa kuwa Jibrili alimpa Muhammad aya hizo kwa muda wa miaka ishirini na tatu mpaka alipofariki [[dunia]] akiwa na umri wa miaka 63.


Hadithi za Mtume Muhammad zimekusanywa katika vitabu vingi sana na [[wanazuoni]] mbali mbali wa Hadithi, lakini vitabu vya hadithi ambavyo ni muhimu na vinategemewa na wengi katika [[Uislamu]] ni hivi vifuatavyo:
Hadithi za Mtume Muhammad zimekusanywa katika vitabu vingi sana na [[wanazuoni]] mbalimbali wa Hadithi, lakini vitabu vya hadithi ambavyo ni muhimu na vinategemewa na wengi katika [[Uislamu]] ni hivi vifuatavyo:


== Vitabu vya Hadithi ==
== Vitabu vya Hadithi ==
Mstari 15: Mstari 16:
* ''8- Musnad Ahmad bin Hanbal''
* ''8- Musnad Ahmad bin Hanbal''


Mtume Muhammad alikuwa hapendelei Hadithi zake ziandikwe wakati mmoja na Kurani, yasije yakachanganyika maneno yake na yale ya Mwenyezi Mungu, na kwa hiyo Hadithi zilichelewa kuandikwa mpaka baada ya kufariki kwake dunia kwa muda mkubwa kidogo, na kwa sababu hii Hadithi zikatawanyika sehemu mbalimbali kulingana na usahihi wake au udhaifu wake au uwongo wake.


Kuna Hadithi aina nne kulingana na fahamu na kutegemewa kwa msimulizi wa hiyo Hadithi. Hadithi Sahihi, Hadithi Hasan (Nzuri), Hadithi Dhaifu, na Hadithi Maudhu'u (Hadithi ya Uwongo). Vile vile, kuna aina nyingine za Hadithi zilizogawanyika kwa mujibu wa mambo mengine kama kwa mujibu wa wapokezi, au mfululizo wa wasimulizi, au idadi ya wasimulizi katika kila sehemu ya mfululizo, au kwa mujibu wa simulizi lenyewe na msimulizi wake.
Mtume Muhammad alikuwa hapendelei ziandikwe Hadithi zake wakati mmoja na Kurani ili yasije yakachanganyika maneno yake na yale ya Mwenyezi Mungu, na kwa hivyo Hadithi zilichelewa kuandikwa mpaka baada ya kufariki kwake dunia kwa muda mkubwa kidogo, na kwa sababu hii Hadithi zikatawanyika sehemu mbali mbali kulingana na usahihi wake au udhaifu wake au uwongo wake.

Kuna Hadithi aina nne kulingana na fahamu na kutegemewa kwa msimulizi wa hiyo Hadithi. Hadithi Sahihi, Hadithi Hasan (Nzuri), Hadithi Dhaifu, na Hadithi Maudhu'u (Hadithi ya Uwongo). Vile vile, kuna aina nyingine za Hadithi zilizogawanyika kwa mujibu wa mambo mengine kama kwa mujibu wa wapokezi, au mfululizo wa wasimulizi, au idadi ya wasimulizi katika kila sehemu ya mfululizo, au kwa mujibu wa simulizi yenyewe na msimulizi wake..


== Hadithi kwa mujibu wa fahamu na kutegemewa kwa msimulizi ==
== Hadithi kwa mujibu wa fahamu na kutegemewa kwa msimulizi ==
* Hadithi Sahihi huwa imesimuliwa kutegemewa ukweli wake na dini yake na ambaye anafahamu nini anasimulia, na kuieleza hadithi kama alivyoipokea kutoka kwa Mtume Muhammad.
* Hadithi Sahihi huwa imesimuliwa kutegemewa [[ukweli]] wake na [[dini]] yake na mtu ambaye anafahamu nini anasimulia, na kuieleza hadithi kama alivyoipokea kutoka kwa Mtume Muhammad.
* Hadithi Hasan au Nzuri huwa inajulikana asli yake na wasimulizi ni watu maarufu.
* Hadithi Hasan au Nzuri huwa inajulikana asili yake na wasimulizi ni watu maarufu.
* Hadithi Dhaifu huwa ile isiyofikia daraja ya Hasan, kwa sababu ya upungufu wa mmoja katika wasimulizi, au mfululizo wa wasimulizi haufikii mpaka kwa Mtume unakatika kwa mojawapo ya Masahaba, au mmoja katika wasimulizi kuwa si wa kutegemewa, na kuwa kuna kasoro fulani katika mambo haya.
* Hadithi Dhaifu huwa ile isiyofikia daraja ya Hasan, kwa sababu ya upungufu wa mmoja katika wasimulizi, au mfululizo wa wasimulizi haufikii mpaka kwa [[Mtume]] unakatika kwa mojawapo ya Masahaba, au mmoja katika wasimulizi si wa kutegemewa, na kuna kasoro fulani katika mambo haya.
* Hadithi Maudhu'u (ya Uwongo) ni ile hadithi iliyobuniwa ikatiwa katika Hadithi za Mtume, na huwa kawaida inakwenda kinyume na Qurani au Hadithi nyenginezo Sahihi au Hasan, au kutonasibiana na maneno yake Mtume au kuwa msimulizi wa Hadithi hii ni mwongo, au kuwa msimulizi hakukutana na yule ambaye amesema amepokea kwake katika mfululizo wa wasimulizi waliotajwa, au kuweko kasoro fulani katika maelezo au matukio yaliyotajwa ndani ya Hadithi hio.
* Hadithi Maudhu'u (ya Uwongo) ni ile hadithi iliyobuniwa ikatiwa katika Hadithi za Mtume, na huwa kawaida inakwenda kinyume na Qurani au Hadithi nyinginezo Sahihi au Hasan, au kutonasibiana na maneno yake Mtume au kuwa msimulizi wa Hadithi hii ni mwongo, au kuwa msimulizi hakukutana na yule ambaye amesema amepokea kwake katika mfululizo wa wasimulizi waliotajwa, au kuweko kasoro fulani katika maelezo au matukio yaliyotajwa ndani ya Hadithi hio.


== Hadithi kwa mujibu wa wasimulizi ==
== Hadithi kwa mujibu wa wasimulizi ==
* Hadithi Qudsi ni ile hadithi ambayo Mtume Muhammad ameisimulia kutoka kwa Mola wake
* Hadithi Qudsi ni ile hadithi ambayo Mtume Muhammad ameisimulia kutoka kwa [[Mola]] wake
* Hadithi Marfu'u ni hadithi iliyopokewa na mfululizo wa wasimulizi na kufikishwa mpaka kwa Mtume
* Hadithi Marfu'u ni hadithi iliyopokewa na mfululizo wa wasimulizi na kufikishwa mpaka kwa Mtume
* Hadithi Mauquf ni ile hadithi iliyosimuliwa na masahaba lakini wasiseme kuwa wameipokea kutoka kwa Mtume mwenyewe.
* Hadithi Mauquf ni ile hadithi iliyosimuliwa na masahaba lakini wasiseme kuwa wameipokea kutoka kwa Mtume mwenyewe.
* Hadithi Maqtu'u ni ile hadithi iliyokatika silsila au mfululizo wake
* Hadithi Maqtu'u ni ile hadithi iliyokatika silsila au mfululizo wake


==Viungo vya nje==
* http://www.hadiths.eu
* http://www.hadiths.eu


[[Jamii:Uislamu]]
[[Jamii:Uislamu]]
[[Jamii:Misahafu]]


{{Link FA|id}}
{{Link FA|id}}

Pitio la 08:34, 27 Agosti 2011

Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Manabii
Misahafu
Malaika
Uteule
Kiyama
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalaSaumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu BakrAli
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

Qur'anSunnahHadithihttps://sw.wikipedia.org/w/index.php?search=Ali%20ibn%20Abu%20Talib&title=Maalum%3ATafuta&wprov=acrw1_2
Wasifu wa Muhammad
Sharia
Elimu ya Sheria za KiislamuKalam

Historia ya Uislamu

Historia
SunniShi'aKharijiyaRashidunUkhalifaMaimamu

Tamaduni za Kiislamu

ShuleMadrasa
TauhidiFalsafaMaadili
Sayansi
SanaaUjenziMiji
KalendaSikukuu
Wanawake
ViongoziSiasa
Uchumi
UmmaItikadi mpyaSufii

Tazama pia

Uislamu na dini nyingine
Hofu ya Uislamu

Hadithi au Sunnah ni maneno na vitendo ambavyo Mtume Muhammad alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha utume. Hadithi hizi ni moja ya miongozo ya imani kwa Waislamu. Hadithi hizi zinajumuisha pia mambo aliyoyaona au kuyasikia katika muda wa utume wake akalinyamazia kimya au akawa hakulipinga na akalikubali.

Muhammad aliishi miaka kama arobaini bila kuwa na imani ya Mungu pekee. Kisha Mwenyezi Mungu akamletea mjumbe kutoka kwake aitwaye malaika Jibrili anayeaminika kuwa ndiye aliyempa aya zilizoko katika msahafu wa Waislamu, Kurani. Inaelezwa kuwa Jibrili alimpa Muhammad aya hizo kwa muda wa miaka ishirini na tatu mpaka alipofariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.

Hadithi za Mtume Muhammad zimekusanywa katika vitabu vingi sana na wanazuoni mbalimbali wa Hadithi, lakini vitabu vya hadithi ambavyo ni muhimu na vinategemewa na wengi katika Uislamu ni hivi vifuatavyo:

Vitabu vya Hadithi

  • 1- Sahih Al-Bukhari
  • 2- Sahih Muslim
  • 3- Sunan An-Nasai
  • 4- Sunan At-Tirmidhi
  • 5- Sunan Ibn Majah
  • 6- Sunan Abu Daud
  • 7- Muwatt'a Ibn Maalik
  • 8- Musnad Ahmad bin Hanbal

Mtume Muhammad alikuwa hapendelei Hadithi zake ziandikwe wakati mmoja na Kurani, yasije yakachanganyika maneno yake na yale ya Mwenyezi Mungu, na kwa hiyo Hadithi zilichelewa kuandikwa mpaka baada ya kufariki kwake dunia kwa muda mkubwa kidogo, na kwa sababu hii Hadithi zikatawanyika sehemu mbalimbali kulingana na usahihi wake au udhaifu wake au uwongo wake.

Kuna Hadithi aina nne kulingana na fahamu na kutegemewa kwa msimulizi wa hiyo Hadithi. Hadithi Sahihi, Hadithi Hasan (Nzuri), Hadithi Dhaifu, na Hadithi Maudhu'u (Hadithi ya Uwongo). Vile vile, kuna aina nyingine za Hadithi zilizogawanyika kwa mujibu wa mambo mengine kama kwa mujibu wa wapokezi, au mfululizo wa wasimulizi, au idadi ya wasimulizi katika kila sehemu ya mfululizo, au kwa mujibu wa simulizi lenyewe na msimulizi wake.

Hadithi kwa mujibu wa fahamu na kutegemewa kwa msimulizi

  • Hadithi Sahihi huwa imesimuliwa kutegemewa ukweli wake na dini yake na mtu ambaye anafahamu nini anasimulia, na kuieleza hadithi kama alivyoipokea kutoka kwa Mtume Muhammad.
  • Hadithi Hasan au Nzuri huwa inajulikana asili yake na wasimulizi ni watu maarufu.
  • Hadithi Dhaifu huwa ile isiyofikia daraja ya Hasan, kwa sababu ya upungufu wa mmoja katika wasimulizi, au mfululizo wa wasimulizi haufikii mpaka kwa Mtume unakatika kwa mojawapo ya Masahaba, au mmoja katika wasimulizi si wa kutegemewa, na kuna kasoro fulani katika mambo haya.
  • Hadithi Maudhu'u (ya Uwongo) ni ile hadithi iliyobuniwa ikatiwa katika Hadithi za Mtume, na huwa kawaida inakwenda kinyume na Qurani au Hadithi nyinginezo Sahihi au Hasan, au kutonasibiana na maneno yake Mtume au kuwa msimulizi wa Hadithi hii ni mwongo, au kuwa msimulizi hakukutana na yule ambaye amesema amepokea kwake katika mfululizo wa wasimulizi waliotajwa, au kuweko kasoro fulani katika maelezo au matukio yaliyotajwa ndani ya Hadithi hio.

Hadithi kwa mujibu wa wasimulizi

  • Hadithi Qudsi ni ile hadithi ambayo Mtume Muhammad ameisimulia kutoka kwa Mola wake
  • Hadithi Marfu'u ni hadithi iliyopokewa na mfululizo wa wasimulizi na kufikishwa mpaka kwa Mtume
  • Hadithi Mauquf ni ile hadithi iliyosimuliwa na masahaba lakini wasiseme kuwa wameipokea kutoka kwa Mtume mwenyewe.
  • Hadithi Maqtu'u ni ile hadithi iliyokatika silsila au mfululizo wake

Viungo vya nje

Kigezo:Link FA