Mario Been : Tofauti kati ya masahihisho
d kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB |
d r2.7.1+) (roboti Nyongeza: fr:Mario Been |
||
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
[[en:Mario Been]] |
[[en:Mario Been]] |
||
[[fi:Mario Been]] |
[[fi:Mario Been]] |
||
[[fr:Mario Been]] |
|||
[[it:Mario Been]] |
[[it:Mario Been]] |
||
[[ja:マリオ・ベーン]] |
[[ja:マリオ・ベーン]] |
Pitio la 17:41, 23 Agosti 2011
Mario Been | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Mario Been | |
Tarehe ya kuzaliwa | 11 Desemba, 1963 | |
Mahala pa kuzaliwa | Rotterdam, Oholanzi | |
Nafasi anayochezea | Katikati | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Staafu | |
* Magoli alioshinda |
Mario Been (amezaliwa tarehe 11 Desemba, 1963 katika mji wa Rotterdam, Zuid-Holland) ni kocha wa mpira wa miguu kutoka nchini Uholanzi, ambaye ndiye kocha wa klabu ya NEC Nijmegen tangu msimu wa mwaka 2006, alisaidia kurejea kwa klabu ya Excelsior Rotterdam kutoka katika ligi ya pili kuipandisha katika ligi kuu ya Uholanzi. Alipewa lakabu huko Uholanzi la Diego Maradona baada ya jina lake la kwanza.
Yeye kama mchezaji wa mpira wa katikati, Been alizichezea klabu za Feyenoord Rotterdam, Pisa Calcio, Roda JC, Sc Heerenveen, FC Tirol Innsbruck, na Excelsior Rotterdam. Na aliichezea Timu ya Taifa ya Uholanzi kwa mechi moja. Been alicheza mechi yake ya mwisho tarehe 17 Septemba, 1995 pindi HFC Haarlem iliifunga Excelsior (4-0).