Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: km:ភពព្រហស្បតិ៍
d r2.5) (roboti Nyongeza: am:ጁፒተር Ondoa: mr:गुरू ग्रह
Mstari 26: Mstari 26:
[[af:Jupiter (planeet)]]
[[af:Jupiter (planeet)]]
[[als:Jupiter (Planet)]]
[[als:Jupiter (Planet)]]
[[am:ጁፒተር]]
[[an:Chupiter (planeta)]]
[[an:Chupiter (planeta)]]
[[ang:Þunor (dweligend)]]
[[ang:Þunor (dweligend)]]
Mstari 107: Mstari 108:
[[ml:വ്യാഴം]]
[[ml:വ്യാഴം]]
[[mn:Бархасбадь]]
[[mn:Бархасбадь]]
[[mr:गुरू ग्रह]]
[[ms:Musytari]]
[[ms:Musytari]]
[[mt:Ġove (pjaneta)]]
[[mt:Ġove (pjaneta)]]

Pitio la 14:09, 23 Agosti 2011

Picha ya Mshtarii iliyopigwa na chombo cha angani Cassini

Mshtarii (kutokana na Kiarabu "المشتري" al-mshtari; pia Sumbula, Jupita; Kiing. Jupiter) ni sayari ya tano toka kwenye jua katika Mfumo wa jua na sayari zake.

Ulinganishi wa ukubwa wa Dunia yetu na Mshtarii pamoja na "doa nyekundu" inayozunguka katika angahewa ya Mshtarii

Mshtarii ni sayari kubwa kabisa ya jua letu. Mada yake inazidi mara mbili na nusu mada ya sayari zote nyingine.

Angahewa

Uso wa sayari haionekani kwa sababu angahewa nzito inafunika kila sehemu. Mada ya angahewa ni hasa hidrojeni na heli. Kutokana na uzito wa angahewa shindikizo ndani yake inaongezeka sana katika vilindi vyake na kusababisha gesi za angahewa kuingia katika hali ya giligili (majimaji) inayobadilika kuwa mango (imara) ndani zaidi. Zamani iliaminika ya kwamba sayari yenyewe ni ya gesi iliyoganda lakini siku hizi wataalamu wa astronomia huamini ya kwamba kuna kiini cha mwamba au metali.

Doa nyekundu inayoonekana usoni wa angahewa ni dhoruba ya tufani kubwa sana iliyotazamiwa mara ya kwanza miaka 300 iliyopita wakati darubini za kwanza zilipopatikana. Duniani tufani zinapotea kwa kawaida baada ya wiki kadhaa lakini doa nyekundu imeendelea bila kusimama.

Miezi

Mshtarii ina miezi 63 zilizotambuliwa hadi mwaka 2005. Ukubwa wa Io unakaribia kipenyo cha Utaridi ukipita kile cha Pluto. Mwezi mdogo kabisa wa Mshtarii unajulikana kwa namba tu una kipenyo cha 1 km.

Miezi minne mikubwa ilitambuliwa mwaka 1610 na Galileo Galilei aliyekuwa kati ya wanaastronomia wa kwanza waliotumia darubini. Ndiyo Io, Europa, Ganymedi na Kallisto.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mshtarii kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA