Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: cs:Sakuramači
+tarehe
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sakuramachi''' ([[1720]] – [[1750]]) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Teruhito''. Mwaka wa [[1735]] alimfuata baba yake, [[Nakamikado]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa [[1747]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Momozono]].
'''Sakuramachi''' ([[8 Februari]], [[1720]] – [[28 Mei]], [[1750]]) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Teruhito''. Tarehe [[13 Aprili]], [[1735]] alimfuata baba yake, [[Nakamikado]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[9 Juni]], [[1747]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Momozono]].


{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 17:52, 27 Julai 2007

Sakuramachi (8 Februari, 172028 Mei, 1750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Teruhito. Tarehe 13 Aprili, 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Juni, 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.