Vespasian : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: thumb|right|Shaba inayoonyesha Kaisari Vespasian '''Titus Flavius Vespasianus''' (17 Novemba, 9 – 23 Juni, ... |
(Hakuna tofauti)
|
Pitio la 14:56, 27 Julai 2007
Titus Flavius Vespasianus (17 Novemba, 9 – 23 Juni, 79) alikuwa Kaisari wa Dola la Roma kuanzia 1 Julai, 69 hadi kifo chake. Alimfuata Vitellius. Wana wake Titus na Domitian walikuwa Kaisari baada yake.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |