Lugha za Kisemiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.5.5) (roboti Nyongeza: vi Badiliko: eu, fa, id, ta, th
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: pms:Lenghe semìtiche
Mstari 71: Mstari 71:
[[no:Semittiske språk]]
[[no:Semittiske språk]]
[[pl:Języki semickie]]
[[pl:Języki semickie]]
[[pms:Lenghe semìtiche]]
[[pt:Línguas semíticas]]
[[pt:Línguas semíticas]]
[[ro:Limbi semitice]]
[[ro:Limbi semitice]]

Pitio la 02:35, 18 Agosti 2011

Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti

Lugha za Kisemiti ni kundi la lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 hivi katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zinahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.

Lugha za Kisemiti leo

Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wengi ni wale wanaotumia lugha za Ethiopia na Eritrea halafu [[Israel]. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:

Lugha za kihistoria

Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za Babeli, Ashur, Kanaan, Moabu, Finisia na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika Biblia.