Julius Wagner-Jauregg : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Julius Wagner-Jauregg |
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sl:Julius Wagner-Jauregg |
||
Mstari 34: | Mstari 34: | ||
[[simple:Julius Wagner-Jauregg]] |
[[simple:Julius Wagner-Jauregg]] |
||
[[sk:Julius Wagner-Jauregg]] |
[[sk:Julius Wagner-Jauregg]] |
||
[[sl:Julius Wagner-Jauregg]] |
|||
[[sv:Julius Wagner-Jauregg]] |
[[sv:Julius Wagner-Jauregg]] |
||
[[uk:Юліус Вагнер-Яурегг]] |
[[uk:Юліус Вагнер-Яурегг]] |
Pitio la 09:47, 14 Agosti 2011
Julius Wagner-Jauregg (7 Machi, 1857 – 27 Septemba, 1940) alikuwa daktari kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza na kutibu magonjwa ya kiakili kwa kutumia tiba ya kushtua ya kuingiza homa mwilini. Mwaka wa 1927 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Julius Wagner-Jauregg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |