Muziki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.1) (roboti Nyongeza: kk:Музыка
d r2.5.1) (roboti Nyongeza: ksh:Musick (zem Hüüre)
Mstari 89: Mstari 89:
[[krc:Музыка]]
[[krc:Музыка]]
[[ks:موسیقی]]
[[ks:موسیقی]]
[[ksh:Musick (zem Hüüre)]]
[[kw:Ylow]]
[[kw:Ylow]]
[[ky:Музыка]]
[[ky:Музыка]]

Pitio la 13:26, 10 Agosti 2011

Muziki ni aina ya sanaa inayotumia sauti mbalimbali. Asili ya neno iko katika lugha ya Kigiriki ambamo huitwa μουσική (mousike). Muziki hutumia sauti za kibinadamu na ala za muziki ama kwa pamoja au pekee.

Baadhi ya sifa za muziki ni uzito wa sauti (pitch) na wizani au mahadhi (rhythm).

Aina ya muziki inayopatikana kote duniani ni nyimbo ambazo ni maneno yanayotolewa kwa sauti na mahadhi fulani matra nyingi pamoja na ala za muziki.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.