Benki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: kk:Банк
kuswahilisha makala
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:TaiwanCooperativeBank.JPG|thumbnail|right|290px|Taiwan Cooperative Benki katika [[Taipei]]]]
[[Picha:TaiwanCooperativeBank.JPG|thumbnail|right|290px|Taiwan Cooperative Benki katika [[Taipei]]]]


'''Benki''' ni taasisi ya kifedha iliyopewa leseni na [[serikali]]. Shughuli zake za msingi ni pamoja na kukopa na kukopesha fedha. Shughuli nyingine za kifedha huruhusiwa kuongeza muda. Kwa mfano benki ni wachezaji muhimu katika masoko ya fedha na kutoa huduma za kifedha kama vile uwekezaji wa fedha na mifuko yake kwa ujumla.
'''Benki''' ni taasisi ya kibiashara inayoshughulika biashara ya fedha. Shughuli zake za msingi ni pamoja na kukopa na kukopesha fedha. Kwenye ngazi hii benki inatunza pesa ya watu wengi. Kwa utunzaji huu benki haiachi pesa kukaa bure tu lakini inaitumia kwa biashara yake. Inaitumia kuikopesha kwa makampuni au watu wanaohitaji fedha. Wanaokopa pesa wanalipa riba ambayo ni bei ya benki kwa huduma ya kukopesha; kutokana na mapato haya benki inalipa pia riba ndogo zaidi kwa wale walipeleka pesa zao kwake. Tofauti kati ya viwango vya aini hizi mbili za riba ni faida na pato la benki. Jambo muhimu linaloangaliwa na benki wakati wa kukopesha pesa ni uwezo wa mkopaji kurudisha deni yake.


Asili ya benki ilikuwa biashara ya wakopeshaji fedha. Siku hizi kuna benki za aina mbalimbali pamoja na
Katika baadhi ya nchi kama vile [[Ujerumani]], benki kuu inayomilikiwa kihistoria vigingi katika makampuni ya viwanda wakati katika nchi nyingine kama vile mabenki ya [[Marekani]] ni marufuku kutoka kumiliki makampuni yasiyo ya kifedha. Katika Ujapani, benki, ni kawaida nexus ya msalaba-share kuikopesha enheten inayojulikana kama zaibatsu. Katika [[Ufaransa]], "bancassurance" ni utbrett, kama wengi mabenki kutoa huduma ya bima (na sasa isiyohamishika huduma) kwa wateja wao.


* benki za kibiashara ambazo ni makampuni yanayolenga kupata faida kubwa kwa kutoa huduma za kifedha. Benki hizi zinashughulika mawasiliano kati ya watu au makampuni yenye pesa za ziada na watu au makampuni wanaohitaji pesa.
Serikali ngazi ya udhibiti wa sekta ya benki inatofautiana sana, kwa nchi kama Island, Uingereza na Marekani kuwa na mwanga relativt udhibiti wa sekta ya benki, na nchi kama vile Uchina kuwa mzito relativt reglering (pamoja na kanuni striktare kuhusu kiwango ya akiba).

* benki za ushirika ambazo mara nyingi hazilengi faida kubwa lakini huduma kwa wateja wasio na pesa nyingi; benki hizi zinapokea pia kiasi kidogo cha pesa na kutoa mikopo kwa wajenga nyumba au wafabyabiashara wadogo.

*Benki kuu ambayo kwa kawaida ni taasisi ya serikali inayosimamia utoaji wa pesa taslim na kiasi cha pesa inayopatikana sokoni kwa jumla. Inasimamia pia kazi ya benki za kibiashara na kiushirika.


{{mbegu-uchumi}}
{{mbegu-uchumi}}

Pitio la 22:50, 8 Agosti 2011

Taiwan Cooperative Benki katika Taipei

Benki ni taasisi ya kibiashara inayoshughulika biashara ya fedha. Shughuli zake za msingi ni pamoja na kukopa na kukopesha fedha. Kwenye ngazi hii benki inatunza pesa ya watu wengi. Kwa utunzaji huu benki haiachi pesa kukaa bure tu lakini inaitumia kwa biashara yake. Inaitumia kuikopesha kwa makampuni au watu wanaohitaji fedha. Wanaokopa pesa wanalipa riba ambayo ni bei ya benki kwa huduma ya kukopesha; kutokana na mapato haya benki inalipa pia riba ndogo zaidi kwa wale walipeleka pesa zao kwake. Tofauti kati ya viwango vya aini hizi mbili za riba ni faida na pato la benki. Jambo muhimu linaloangaliwa na benki wakati wa kukopesha pesa ni uwezo wa mkopaji kurudisha deni yake.

Asili ya benki ilikuwa biashara ya wakopeshaji fedha. Siku hizi kuna benki za aina mbalimbali pamoja na

  • benki za kibiashara ambazo ni makampuni yanayolenga kupata faida kubwa kwa kutoa huduma za kifedha. Benki hizi zinashughulika mawasiliano kati ya watu au makampuni yenye pesa za ziada na watu au makampuni wanaohitaji pesa.
  • benki za ushirika ambazo mara nyingi hazilengi faida kubwa lakini huduma kwa wateja wasio na pesa nyingi; benki hizi zinapokea pia kiasi kidogo cha pesa na kutoa mikopo kwa wajenga nyumba au wafabyabiashara wadogo.
  • Benki kuu ambayo kwa kawaida ni taasisi ya serikali inayosimamia utoaji wa pesa taslim na kiasi cha pesa inayopatikana sokoni kwa jumla. Inasimamia pia kazi ya benki za kibiashara na kiushirika.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.