Wilaya ya Tunduru : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+ramani
Mstari 23: Mstari 23:
[[de:Tunduru]]
[[de:Tunduru]]
[[en:Tunduru]]
[[en:Tunduru]]
[[ro:Tunduru]]
[[ro:Districtul Tunduru]]
[[sv:Tunduru]]

Pitio la 09:46, 7 Agosti 2011

Mahali pa Tunduru (kijani) katika mkoa wa Ruvuma.

Wilaya ya Tunduru ni wilaya moja ya Mkoa wa Ruvuma. Kwa upande wa kusini Tunduru inapakana na Msumbiji, upande wa magharibi na wilaya ya Namtumbo, kaskazini na mkoa wa Lindi na upande wa mashariki na wilaya ya Masasi (Mtwara).

Wakazi walio wengi ni Wayao.

Wilaya ina tarafa 7 ambazo ni Mlingoti, Nalasi, Nakapanya, Nampungu, Matemanga, Lukumbule, Namasakata na Mbesa kwa Tunduru mjini.

Tunduru kuna chuo cha biblia cha Kanisa la Biblia Tanzania katika kiungo cha Nanjoka. Shule za sekondari ni Tunduru Sekondari, Mataka, Frank Weston na Masonya,

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 247,976 [1].

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tunduru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Tunduru - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania

Chiwana | Jakika | Kalulu | Kidodoma | Ligoma | Ligunga | Lukumbule | Majengo | Majimaji | Marumba | Masonya | Matemanga | Mbati | Mbesa | Mchangani | Mchesi | Mchoteka | Mchuluka | Mindu | Misechela | Mlingoti Magharibi | Mlingoti Mashariki | Mtina | Muhuwesi | Nakapanya | Nakayaya | Nalasi Magharibi | Nalasi Mashariki | Namakambale | Namasakata | Namiungo | Nampungu | Namwinyu | Nandembo | Nanjoka | Ngapa | Sisi Kwa Sisi | Tinginya | Tuwemacho