Wapiti (mnyama) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Uainishaji | rangi = #D3D3A4 | jina = Wapiti | picha = Rocky_Mountain_Bull_Elk.jpg | upana_wa_picha = 250px | maelezo_ya_picha = '''Wapiti''' (''Cervus canadensi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 16:22, 1 Agosti 2011

Wapiti
Wapiti (Cervus canadensis)
Wapiti (Cervus canadensis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)
Familia: Cervidae (Wanyama walio na mnasaba na kulungu)
Nusufamilia: Cervinae (Wanyama wanaofanana na kulungu wa Dunia ya Kale)
Jenasi: Cervus
Spishi: C. canadensis
Erxleben, 1777

Wapiti (Kisayansi: Cervus canadensis) ni kulungu mkubwa wa Amerika ya Kaskazini na dume wa spishi wana pembe kichwani.