Umm al-Quwain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: br:Umm al-Qaywayn
d r2.7.2) (roboti Badiliko: zh:欧姆古温
Mstari 70: Mstari 70:
[[ur:ام القوین]]
[[ur:ام القوین]]
[[yo:Um Al Quwain]]
[[yo:Um Al Quwain]]
[[zh:姆古溫酋長國]]
[[zh:姆古]]

Pitio la 00:12, 21 Julai 2011

Bendera ya Umm al-Quwain
Falme za Kiarabu

Umm al-Quwain (Kiar.: أمّ القيوين) ni emirati ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni.

Iko katika kaskazini ya shirikisho kati ya Ajman na Ras al-Khaimah.

Mtawala wake ni Sheikh Rashid bin Ahmad Al Mu'alla (الشيخ راشد بن احمد المعلا).

Utemi una wakazi 62,000 (2003) katika eneo la 750 km². Haina mapato makubwa kutoka mafuta kama Abu Dhabi hivyo imebaki mji mdogo.

Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha mitende katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.

Viungo vya nje

  • UAQ24.com - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain
Magazeti ya Falme za Kiarabu
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Umm al-Quwain kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.