Kiserbokroatia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.1) (roboti Badiliko: da:Serbokroatisk
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: vi:Tiếng Serbo-Croatia
Mstari 91: Mstari 91:
[[ug:سېربو-كرودىيىلىكلەر تىلى]]
[[ug:سېربو-كرودىيىلىكلەر تىلى]]
[[uk:Сербсько-хорватська мова]]
[[uk:Сербсько-хорватська мова]]
[[vi:Tiếng Serbo-Croatia]]
[[zh:塞尔维亚-克罗地亚语]]
[[zh:塞尔维亚-克罗地亚语]]

Pitio la 16:28, 30 Juni 2011

Kiserbokroatia iliyoitwa pia Kikroatoserbia (halafu pia "Kiserbia au Kikroatia" na "Kikroatia au Kiserbia" - srpskohrvatski au cрпскохрватски au hrvatskosrpski au hrvatski ili srpski au srpski ili hrvatski) ilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia na Kimasedonia.

Wakati wa Ufalme na baadaye Jamhuri ya Yugoslavia Kiserbia na Kikroatia zilitazamia kama lahaja za lugha moja iliyoendelea kwa karne nyingi katika eneo lililotengwa kisiasa. Taifa jipya ya Yugoslavia lilitaka kuunganisha lahaja za karibu za Wakroatia, Waserbia na Wabosnia. Hii ilikuwa mpango wa kuunda lugha sanifu ya kisasa na kujenga umoja wa kitaifa.

Kufuatana na tamaduni mbalimbali katika Yugoslavia iliandikwa kwa alfabeti ya Kikirili upanda wa Mashariki katika eneo la Serbia na kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia.

Baada ya kuporomoka kwa Yugoslavia tangu 1991 maeneo yake yaliendelea kama nchi za pekee. Kila nchi kati ya Serbia, Kroatia na Bosnia-Herzegovina ilianza kudai ya kwamba lugha ya watu wake ni lugha ya pekee. Neno na wazo la "Kiserbokroatia" ilifutwa kati ya wasemaji wa lugha baada ya kipindi cha uadui na vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Français Kikroatia Kibosnia Kiserbia
Comme les gaz d'échappement et la pollution atmosphérique dans la Jérusalem, il serait nécessaire de prendre des mesures pour assurer la sécurité! Glede ispušnih plinova i zagađivanja zraka u Jeruzalemu, bilo bi potrebito poduzeti mjere sigurnosti! U pogledu izduvnih gasova i zagađivanja vazduha u Jerusalimu, bilo bi potrebno preduzeti mjere bezbjednosti! У погледу издувних гасова и загађивања ваздуха у Јерусалиму, било би потребно предузети мере безбедности!