Amfibia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: ku:Bejavî
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: kk:Қосмекенділер
Mstari 40: Mstari 40:


{{Link FA|fi}}
{{Link FA|fi}}

[[kbd:Амфибиэхэр]]


[[af:Amfibie]]
[[af:Amfibie]]
Mstari 85: Mstari 87:
[[jv:Amfibi]]
[[jv:Amfibi]]
[[ka:ამფიბიები]]
[[ka:ამფიბიები]]
[[kk:Қосмекенділер]]
[[kbd:Амфибиэхэр]]
[[kn:ಉಭಯಚರಗಳು]]
[[kn:ಉಭಯಚರಗಳು]]
[[ko:양서류]]
[[ko:양서류]]

Pitio la 03:58, 29 Juni 2011

Amfibia
Chura "Spea hammondi"
Chura "Spea hammondi"
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vetebrata (wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Amfibia


Amfibia ni kundi la wanyama wenye uti wa mgongo na damu baridi ambao wanaanza maisha kwenye maji na baada ya kupita metamofosisi wanaweza kuendelea kwenye nchi kavu katika kipindi cha pili cha maisha yao. Vyura, ngele, salamanda na mijusi wasio na miguu wamo katika ngeli hii.

Jina la kisanyansi "amfibia" linaunganisha maneno mawili ya Kigiriki ἀμφί amphi yaani "pande zote mbili" na βίος bios yaani "maisha" kwa jumla "maisha pande zote mbili" yaani ndani ya maji na kwenye nchi kavu.

Chanzo cha maisha yao ni mayai yaliyotegwa kwenye maji. Amfibia mdogo anatoka kwenye yai katika umbo la ndubwi anayeishi ndani ya maji bila miguu na kupumua kwa yavuyavu ikiwa na mkia. Inaendelea kubadilika na kukuza miguu hadi kutoka kwenye maji ma kufikia umbo la mnyama mzima anayepumua kwa mapafu.

Spishi chache zimeendelea na zinaweza kuzaa bila maji. Wadogo wanafikia umbo la ndubwi na kuendelea na metamofosi ndani ya yai hadi kutoka kwa umbo mzima. Spishi kadhaa zinatunza mayai ndani ya mwili hivi zinazaa wadogo hai.

Amfibia ni wala nyama wanakula viumbe vidogo hasa wadudu.

Kuna takriban spishi 5,700 za amfibia.

Uainishaji

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amfibia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amfibia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA