Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ja:ムボジ隕石
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:kimondombozi.jpg|thumb|200px|Kimondo cha Mbozi]]
<sup><small>[[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E</small></sup><br>
<sup><small>[[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E</small></sup><br>
'''Kimondo cha Mbozi''' ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]].

Pitio la 04:33, 27 Juni 2011

Kimondo cha Mbozi

Anwani ya kijiografia ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E
Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.

Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. Chuma ni 90.45%, nikeli 8,69%, sulfuri 0,01% na fosfori 0,11% ya masi yake.

Viungo vya Nje