Lisbon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ckb:لیسبۆن
d roboti Nyongeza: rmy:Lisbon
Mstari 154: Mstari 154:
[[pt:Lisboa]]
[[pt:Lisboa]]
[[qu:Lisboa]]
[[qu:Lisboa]]
[[rmy:Lisbon]]
[[rn:Lisboa]]
[[rn:Lisboa]]
[[ro:Lisabona]]
[[ro:Lisabona]]

Pitio la 20:32, 25 Juni 2011







Lisbon

Bendera

Nembo
Majiranukta: 38°42′00″N 09°08′00″E / 38.70000°N 9.13333°E / 38.70000; 9.13333
Nchi Ureno
Mkoa Lisbon
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 564,477
Tovuti:  http://www.cm-lisboa.pt/
Lisbon katika Ureno

Lisbon (Kireno: Lisboa) ni mji mkuu wa Ureno pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 560,000 na pamoja na rundiko la mji ni milioni mbili.

Mji uko kando la mto Tejo kwenye kona ya kusini-magharibi ya Ulaya mwambaoni wa Atlantiki.

Historia

Mji ulijulikana tangu karne ya 3 KK kwa jina la "Olispo". Wakati wa Kiroma ulikuwa mji mkuu wa jimbo la Lusitania.

  1. 719 ulitwaliwa na Waarabu.
  2. 1147 Lisbon ilitwaliwa na mfalme Mreno Dom Afonso Henriques
  3. 1256 mfalme Afonso III alipeleka mji mkuu kutoka Coimbra kuja Lisbon.
  4. 1499 alirudi Vasco da Gama Lisbon kutoka safari yake ya kwanza ya Uhindi akaanzisha kipindi cha utajiri kwa Ureno na mji kutokana biashara ya kikoloni.
  5. Karne ya 16: Lisbon imekua kuwa mji mkubwa duniani unaojulikana wakati ule mwenye wakazi 350,000.
  6. 1 Novemba 1755 tetemeko la ardhi liliharibu theluthi mbili za mji na kuua watu 60,000.
  7. 5 Oktoba 1910 Jamhuri ya Ureno lilitangazwa Lisbon
  8. 1926: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza demokrasia na kuanzisha kipindi cha udikteta katiia Ureno
  9. 1974: mapinduzi ya kijeshi yalimaliza udikteta na kuanzisha kipindi kipya cha demokrasia

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lisbon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA