Kamusi elezo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: cu:Єнкѷклопєдїꙗ
d r2.6.1) (roboti Nyongeza: kk:Энциклопедия
Mstari 76: Mstari 76:
[[jv:Ensiklopedhi]]
[[jv:Ensiklopedhi]]
[[ka:ენციკლოპედია]]
[[ka:ენციკლოპედია]]
[[kk:Энциклопедия]]
[[kl:Encyklopædi]]
[[kl:Encyklopædi]]
[[ko:백과사전]]
[[ko:백과사전]]

Pitio la 21:06, 20 Juni 2011

Kamusi elezo (pia: ensiklopedia) ni kitabu kinachojaribu kukusanya ujuzi wote wa ubinadamu. Siku hizi, Wikipedia ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani. Zamani (kabla ya uumbaji wa Wikipedia) Encyclopedia Britannica ilikuwa kati ya kamusi elezo kubwa zaidi duniani.

Katika historia zilikuwepo majaribio mbalimbali kukusanya ujuzi wote wa dunia. Mfano bora wa kale ni kamusi ya Yongle kutoka China iliyotungwa karne ya 14 na wataalamu 2000 na kundikwa kwa mkono katika vitabu 1100.

Lakini kamusi elezo au ensiklopedia zilikuwa na athari kubwa sana tangu Johannes Gutenberg na kupatikana kwa uchapisho vitabu iliyoshusha kabisa bei ya vitabu kwa watu wengi.

Ensiklopedia ya kwanza ya kisasa iliyokuwa na athira kubwa sana ilikuwa "Encyclopédie ou Dictionnaire raisonné des sciences, des arts et des métiers" ya Denis Diderot pamoja na Jean Baptiste le Rond d’Alembert pamoja na waandishi zaidi ya 130 katika karne ya 18. Kamusi elezo hili likawa kati ya vyanzo vya harakati ya Zama za Nuru.

Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kamusi elezo kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

ak:Obiara tumi kyerɛw bi no