Ugiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mg:Grisy
d r2.6.1) (roboti Nyongeza: sm:Kuliti
Mstari 238: Mstari 238:
[[sk:Grécko]]
[[sk:Grécko]]
[[sl:Grčija]]
[[sl:Grčija]]
[[sm:Kuliti]]
[[so:Giriig]]
[[so:Giriig]]
[[sq:Greqia]]
[[sq:Greqia]]

Pitio la 04:22, 19 Juni 2011

Ugiriki

Ugiriki (pia: Uyunani; kigir.: Ελλάδα (elada) au Ελλάς (elas) ni nchi ya Ulaya Kusini-Mashariki katika kusini ya rasi ya Balkani. Imepakana na Bulgaria, Jamhuri ya Masedonia, Albania na Uturuki. Upande wa kusini-magharibi na kusini-mashariki kuna pwani ndefu na Bahari ya Mediteranea. Baharini kuna visiwa vingi sana mabavyo ni sehemu za Ugiriki.

Ugiriki ni nchi yenye historia ndefu na maarufu sana inaitwa "nchi mama ya Ulaya".

Lugha ya Kigiriki inaendelea kuandikwa kwa Alfabeti ya Kigiriki inaotumiwa tangu miaka 3000 lakini lugha yenyewe imebadilika. Wagiriki wa leo hawaelewi tena Kigiriki cha Kale moja kwa moja.

Ugiriki ni nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya tangu 1981.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ugiriki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA