Nafaka : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: br:Ed
Mstari 43: Mstari 43:
[[bar:Droad]]
[[bar:Droad]]
[[bat-smg:Javā]]
[[bat-smg:Javā]]
[[be:Збожжавыя культуры]]
[[be-x-old:Збожжа]]
[[be-x-old:Збожжа]]
[[bg:Зърнено-житни култури]]
[[bg:Зърнено-житни култури]]
Mstari 81: Mstari 82:
[[lv:Labība]]
[[lv:Labība]]
[[mk:Жито]]
[[mk:Жито]]
[[ml:സിറിയൽ]]
[[ms:Bijirin]]
[[ms:Bijirin]]
[[myv:Сюрот (тикшеть)]]
[[myv:Сюрот (тикшеть)]]
Mstari 86: Mstari 88:
[[nn:Korn]]
[[nn:Korn]]
[[no:Korn]]
[[no:Korn]]
[[oc:Cereala]]
[[pl:Zboża]]
[[pl:Zboża]]
[[pnb:دانے دار فصلاں]]
[[pnb:دانے دار فصلاں]]

Pitio la 16:23, 17 Juni 2011

Vyakula kutokana na nafaka

Nafaka ni mbegu wa aina mbalimbali za manyasi. Ni pia jina kwa ajili ya aina za manyasi ambazo mbegu zake zinaliwa kama chakula cha kibinadamu.

Manyasi za nafaka ni kati ya mimea muhimu zaidi inayotumiwa kama chakula cha watu duniani.

Nafaka muhimu ni pamoja na

Aina tatu za nafaka ambazo ni 87 % za mavuno ya nafaka zote duniani muhindi, ngano na mpunga.

Nafaka zina wanga (kabohaidreti) ndani yake ambayo ni lishe muhimu ya watu. Kuna pia kiasi kidogo cha protini.

Punje za nafaka zinaliwa baada ya kuzivunja kiasi na kuzilainisha ndani ya maji. Kwa kawaida nafaka huliwa baada ya kupondwa au kusagwa kuwa unga.

Ugali, uji, maandazi, chapati, mkate, keki na spaghetti ni mifano ya vyakula vinavyotengenezwa kwa kutumia unga wa nafaka.

Marejeo

  1. Kiing. barley
  2. msamiati wa Legere kwa Hafer / oat; TUKI-ESD inataja shayiri kuwa "barley" na pia na "oat""rye"
  3. msamiati wa Legere kwa Roggen / rye; TUKI-ESD inataja shayiri kuwa "barley" na pia na "oat""rye"
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nafaka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.