Kanga (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: it:Numididae
d r2.5.2) (roboti Badiliko: nv:Naaʼahóóhaiłkizhígíí
Mstari 72: Mstari 72:
[[nl:Parelhoenders]]
[[nl:Parelhoenders]]
[[no:Perlehøns]]
[[no:Perlehøns]]
[[nv:Naʼahóóhaiłkizhígíí]]
[[nv:Naaʼahóóhaiłkizhígíí]]
[[pl:Perlice]]
[[pl:Perlice]]
[[pt:Numididae]]
[[pt:Numididae]]

Pitio la 11:26, 9 Juni 2011

Kanga
Kanga wa kawaida
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Numididae (Ndege walio na mnasaba na kanga)
Jenasi: Acryllium G.R. Gray, 1840

Agelastes Bonaparte, 1850
Guttera Wagler, 1832
Numida Linnaeus, 1766

Kanga ni ndege wa familia Numididae. Jina hili ni jina la kawaida la ndege hawa, lakini spishi za Afrika ya Mashariki wana majina mengine kama chepeo, kororo na kicheleko (tazama orodha ya spishi). Kanga ni wakubwa kuliko kwale na wana rangi nyeusi na madoa meupe. Kichwa chao hakina manyoya lakini spishi tatu zina manyoya juu ya utosi. Kanga mweusi na kanga kidari-cheupe hawajulikani sana, lakini mwenendo wao unasadikiwa kufanana na ule wa spishi nyingine. Hula mbegu, wadudu, makoa na nyungunyungu, na hutaga mayai ardhini. Kanga huwa mwenzi mmoja tu maisha yao yote.

Spishi zote zinatokea Afrika. Chepeo hufugwa hususa huko Afrika ya Magharibi na pia katika Ulaya na Marekani.

Spishi

Picha

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: