Macdonald Mariga : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viunganishi vya nje: kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Mstari 49: Mstari 49:
{{Parma F.C. Squad}}
{{Parma F.C. Squad}}


{{Tareheyakuzaliwa}}
{{tareheyakuzaliwa}}
{{jinalamchezaji}}
{{Jinalamchezaji}}
{{jinalautani}}
{{Jinalautani}}
{{urefu}}
{{Urefu}}
{{jinakamili}}
{{Jinakamili}}
{{kiungo}}
{{Kiungo}}
{{ujana}}
{{Ujana}}
{{timuyataifa}}
{{Timuyataifa}}
{{miakayataifa}}
{{Miakayataifa}}
{{kilabu}}
{{Kilabu}}


{{DEFAULTSORT:Mariga, McDonald}}
{{DEFAULTSORT:Mariga, McDonald}}
Mstari 69: Mstari 69:


[[ar:مكدونالد ماريغا]]
[[ar:مكدونالد ماريغا]]
[[bg:Макдоналд Марига]]
[[en:Macdonald Mariga]]
[[de:McDonald Mariga]]
[[en:McDonald Mariga]]
[[es:McDonald Mariga]]
[[es:McDonald Mariga]]
[[fi:McDonald Mariga]]
[[fr:McDonald Mariga]]
[[it:McDonald Mariga]]
[[it:McDonald Mariga]]
[[ja:マクドナルド・マリガ]]
[[ja:マクドナルド・マリガ]]
[[ko:맥도날드 마리가]]
[[nl:McDonald Mariga]]
[[pl:McDonald Mariga]]
[[pl:McDonald Mariga]]
[[pt:McDonald Mariga]]
[[ro:McDonald Mariga]]
[[ru:Марига, Макдональд]]
[[ru:Марига, Макдональд]]
[[sv:McDonald Mariga]]
[[sv:McDonald Mariga]]
[[zh:麥當勞·馬里加]]

Pitio la 16:06, 8 Juni 2011

McDonald Mariga
Maelezo binafsi
Jina kamili McDonald Mariga Wanyama
Tarehe ya kuzaliwa 1987, Aprili 4
Mahala pa kuzaliwa    Nairobi, Kenya
Urefu 187 cm
Timu ya taifa
2006- Kenya

* Magoli alioshinda

Macdonald Mariga (amezaliwa 4 Aprili, 1987) ni mchezaji wa kandanda wa Kenya na huchezea klabu ya Serie A ya Parma.

Wasifu wa klabu

McDonald Mariga

Mariga alianza kucheza kambumbu na timu ya Ulinzi Stars kabla kuhamia timu ya Pipeline FC. Mariga alikuwa mojawapo wa wachezaji wa timu ya 'Golden Boys' katika shule ya upili ya Kamukunji. Alishirkiana humo na mwenzake katika timu ya taifa ya Kenya Dennis Oliech ambaye anachezea klabu ya Auxerre, Ufaransa.Timu yao ya 'Golden Boys' ilishinda Kombe la Mabingwa wa Taifa miaka mbili mfululizo(2002 na 2003).

Yeye huwa mchezaji wa kati ya uwanja huku akishirikiana na wenzake kufikisha mpira kwa washambulizi.Aliendelea na jukumu hili katika timu alipohamia Uswidi kucheza katika timu ya Enköpings SK. Baada ya msimu mmoja tu ya kuwa Enköpings aliajiriwa na timu ya Helsingborgs IF kabla msimu wa 2006. Alifanikiwa mjini Olympia kwa haraka sana.[1] Meneja maarufu kutoka timu ya Portsmouth, Harry Redknapp, alikuwa akimtaka achezee timu yake katika ligi ya Uingereza.Mariga alionekana kuelekea kuchezea timu hiyo lakini matatizo ya kupata kibali cha kazi yalimkumba na mpango huo kutofaulu.Gharama ya ubadilishaji wa huduma zake Mariga kutoka Helsinborg hadi Portsmouth ulikisiwa kuwa euro milioni 2.7.

Alihamia ya ligi ya Serie A akichezea klabu ya Parma FC kwa mpango wa aina ya mkopo katika mwezi wa Agosti 2007. Timu hiyo ya Kiitaliano ilikuwa na nfasi ya kumnunua kwa ada ya Kronor ya Uswidi milioni 20\. Mariga alikubali kuajiriwa kwa miaka minne na klabu ya Parma hadi mwisho wa Juni 2012 baasa ya klabu hiyo kulipa ada ya uhamisho wa Kronor ya Uswidi milioni 18(takriban euro milioni 1.94). Mpango huo ulioandaliwa na aliyekuwa mchezaji maarufu wa Uswidi Martin Dahlin, ilikuwa na gharama iliyokuwa chini ya bei ya awali ya Kronor ya Uswidi milioni 20 iliyowekwa na Helsinborg.25% ya ada ya uhamisho ulikwenda kwa Enkopings SK, ambayo ilkuwa klabu iliyompeleka Mariga Uswidi mnamo mwaka 2005. Mpango huo, ulioandaliwa na aliyekuwa Swede Martin kubwa Dahlin, sasa ni kikali, falls fupi ya milioni 20 Kronnor kuuliza bei awali yaliyowekwa na Helsingborgs. 25% ya ada ya uhamisho watakwenda Enkopings SK, klabu kwamba kwanza got Mariga na Uswidi mwaka 2005.

Mariga ambaye huduma zake zilikuwa zimegharamiwa kuwa na thamani ya euro milioni 0.8 mnamo tarehe Julai 2008 lakini sasa amemea katika mchezo na akawa mahiri zaidi.Hii imesababisha thamani yake kuongezeka pole pole hadi euro milioni 1.94 baada ya mwaka mmoja tu.Amecheza vizuri sana katika ligi ya Kiitaliano ya Serie A tangu kuhama kutoka Helsinborg huku akiwa mmojawapo wa vijana waliokua kwa haraka sana katika klabu hiyo.

Mariga alichezea timu ya Parma mara 35 katika ligi ya Serie B wakati wa msimu wa 2008-2009 huku akifunga mabao matatu ili kuwasaidia kurudi ligi yaSerie A kwa msimu wa 2009-2010.

Wasifu wa Kimataifa

Mariga alifunga bao lake la kimataifa la kwanza dhidi ya Swaziland tarehe 25/03/2007.

Virejeleo

  1. "McDonald Mariga". SvFF. Iliwekwa mnamo 2009-05-17. 

Viunganishi vya nje

Kigezo:Tareheyakuzaliwa Kigezo:Jinalamchezaji Kigezo:Jinalautani Kigezo:Urefu Kigezo:Jinakamili Kigezo:Kiungo Kigezo:Ujana Kigezo:Timuyataifa Kigezo:Miakayataifa Kigezo:Kilabu