Tenerife : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Flag of Tenerife.svg|right|thumb|200px|flag]]
[[Picha:Flag of Tenerife.svg|right|thumb|200px|flag]]
[[Picha:Nasa world wind - teneriffa.jpg|thumb|200px|Tenerife]]
[[Picha:Echium Wildpretii at The Teide.jpg|200px|thumb|[[Teide]]]]
'''Tenerife''' ni kisiwa cha Ki[[hispania]] kwenye [[funguvisiwa]] ya [[Visiwa vya Kanari]] katika [[Atlantiki]] mbele ya mwabao wa [[Afrika ya Magharibi]].
'''Tenerife''' ni kisiwa cha Ki[[hispania]] kwenye [[funguvisiwa]] ya [[Visiwa vya Kanari]] katika [[Atlantiki]] mbele ya mwabao wa [[Afrika ya Magharibi]].

Mstari 14: Mstari 12:

Mahali pa juu ni volkeno ya [[Teide]] yenye kimo cha 3,718 m juu ya [[UB]].
Mahali pa juu ni volkeno ya [[Teide]] yenye kimo cha 3,718 m juu ya [[UB]].

<gallery>
Picha:Nasa world wind - teneriffa.jpg|Tenerife
Picha:Echium Wildpretii at The Teide.jpg|[[Teide]]
</gallery>

{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}

Pitio la 17:11, 3 Juni 2011

flag

Tenerife ni kisiwa cha Kihispania kwenye funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari katika Atlantiki mbele ya mwabao wa Afrika ya Magharibi.

Mji mkuu pia mji mkubwa ni Santa Cruz de Tenerife kwenye kaskazini ya kisiwa.

Uchumi wa Tenerife kama funguvisiwa yote ni hasa utalii. Kwenye kusini ya kisiwa kuna kitovu cha utalii kwenye sehemu za Las Teresitas na Los Cristianos.

Jiografia

Kisiwa kina kipenyo cha 2.034 km². Idadi ya wakazi ni mnamo 899.833.

Tenerife ipo kati ya visiwa vya jirani vya Gran Canaria na La Gomera kwenye 28° 0' N na 15° 35' W.

Mahali pa juu ni volkeno ya Teide yenye kimo cha 3,718 m juu ya UB.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tenerife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.