Rasi ya Malay : Tofauti kati ya masahihisho
d robot Adding: et:Malaka poolsaar |
d robot Adding: nn:Malayahalvøya |
||
Mstari 41: | Mstari 41: | ||
[[ko:말레이 반도]] |
[[ko:말레이 반도]] |
||
[[nl:Malakka (schiereiland)]] |
[[nl:Malakka (schiereiland)]] |
||
[[nn:Malayahalvøya]] |
|||
[[no:Malayahalvøya]] |
[[no:Malayahalvøya]] |
||
[[pl:Półwysep Malajski]] |
[[pl:Półwysep Malajski]] |
Pitio la 03:29, 12 Julai 2007
Rasi ya Malay (Kimalay: Semenanjung Tanah Melayu) ni rasi kubwa katika Asia ya kusini-magharibi.
Ina pande tatu:
- Kaskazini-magharibi yake ni eneo la kusini kabia ya Myanmar (Burma)
- Katikati yake ni eneo la Uthai
- Kusini ni eneo la Malaysia ya magharibi
Kusini kabisa iko Singapor kwenye kisiwa karibu na ncha ya rasi
Jiografia
Rasi ya Malai iko kati ya Bahari Hindi na Pasifiki. Upande wa Pasifiki ni Ghuba ya Uthai na Bahari ya Uchina. Mlango wa Malakka unatenganisha rasi na kisiwa cha Sumatra
Rasi inaanza kwenye latitudo ya +13 na kuelekea kusini hadi latitudo ya +1. Urefu wake ni 1,555 km. Sehemu nyembamba iko katika sehemu ya Kithai yenye 60 km pekee.
Sura ya nchi ina tabia mbalimbali: milima, tambarare, maziwa, pwani na misitu minene.
Milima ya juu ni Gunung Tahan (2,187 m) hohe Gunung Korbu (2,184 m) nchini Malaysia. Katika tambarare za Uthai iko Khao Luang (1,786 m). Sehemu ya Myanmar kuna Recho Taung (1,330 m).
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |