Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
wahariri wasionekane ndani ya makala
Mstari 6: Mstari 6:
{| class="wikitable sortable"
{| class="wikitable sortable"
|-
|-
! Methali !! Maana/Matumizi!! Taafsiri ya Kizungu !! Mhariri
! Methali !! Maana/Matumizi!! Taafsiri ya Kizungu
|-
|-
| Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu || Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata||He that does not heed the elderly advice, evil befalls him ||'''[[Mtumiaji:Mpmayenge|Mpmayenge]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Mpmayenge|majadiliano]])'''`
| Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu || Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata||He that does not heed the elderly advice, evil befalls him
|-
|-
|Aisifiaye mvua,ujue imemnyeshea ||Hutumika kuashiria mtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambua utamu wake ||He that praises rain,has seen it|| '''[[Mtumiaji:Mpmayenge|Mpmayenge]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Mpmayenge|majadiliano]])''' 14:23, 19 Aprili 2011 (UTC)
|Aisifiaye mvua,ujue imemnyeshea ||Hutumika kuashiria mtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambua utamu wake ||He that praises rain,has seen it
|-
|-
| Aliye juu,mngojee chini ||Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli. ||Pride comes before a fall || '''[[Mtumiaji:Mpmayenge|Mpmayenge]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Mpmayenge|majadiliano]])''' 08:45, 28 Mei 2011 (UTC)
| Aliye juu,mngojee chini ||Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli. ||Pride comes before a fall
|-
|-
| Usimwamshe aliyelala utalala wewe. ||usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe ||Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself. ||
| Usimwamshe aliyelala utalala wewe. ||usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe ||Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself. ||

Pitio la 18:35, 29 Mei 2011

Methali ni aina ya usemi wa kisanii wa kimapokeo unaofikiriwa na jamii kuwa wa kweli na unaotumiwa kufumbia au kutolea mfano na huwa umebeba maana pana kuliko maneno yenyewe yanayotumiwa.

Kila Taifa na kila kabila lina methali zake, baadhi ya methali za kiswahili ni kama; mficha ugonjwa kifo humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.

Methali za Kiswahili

Methali Maana/Matumizi Taafsiri ya Kizungu
Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata He that does not heed the elderly advice, evil befalls him
Aisifiaye mvua,ujue imemnyeshea Hutumika kuashiria mtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambua utamu wake He that praises rain,has seen it
Aliye juu,mngojee chini Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli. Pride comes before a fall
Usimwamshe aliyelala utalala wewe. usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself.

Viungo vya Nje (Methali za Kiswahili)

Kigezo:Lien BA