Kiyunani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Kiyunani - Kiswahili cha kale kwa "[[Kigiriki]]", ambayo ni lugha ya nchi ya [[Ugiriki]] ("Uyunani") au tabia za [[Wagiriki]] ("Wayunani").
Kiyunani - Kiswahili cha kale kwa "[[Kigiriki]]", ambayo ni lugha ya nchi ya [[Ugiriki]] ("Uyunani") au tabia za [[Wagiriki]] ("Wayunani").

Neno la kale limetokana na lugha ya Kiarabu likatumikiwa hasa katika matoleo mbalimbali ya Biblia. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia "Greek" kutokana na tamko ya Kilatini "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".
Neno la kale limetokana na lugha ya Kiarabu اليونان likatumikiwa hasa katika matoleo mbalimbali ya Biblia. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia "Greek" kutokana na tamko ya Kilatini "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".

Pitio la 13:37, 18 Januari 2006

Kiyunani - Kiswahili cha kale kwa "Kigiriki", ambayo ni lugha ya nchi ya Ugiriki ("Uyunani") au tabia za Wagiriki ("Wayunani").