1995 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: fiu-vro:1995 |
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: diq:1995 |
||
Mstari 54: | Mstari 54: | ||
[[da:1995]] |
[[da:1995]] |
||
[[de:1995]] |
[[de:1995]] |
||
[[diq:1995]] |
|||
[[el:1995]] |
[[el:1995]] |
||
[[en:1995]] |
[[en:1995]] |
Pitio la 01:33, 29 Mei 2011
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1991 |
1992 |
1993 |
1994 |
1995
| 1996
| 1997
| 1998
| 1999
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1995 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 30 Julai - Nchini Kenya, wazee Wakikuyu na wazee Wakalenjin, baadhi yao wabunge hamsini na wawili, wanatangaza mapatano ya amani.
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliofariki
- 1 Januari - Eugene Wigner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 18 Januari - Adolf Butenandt (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1939)
- 1 Machi - Georges Köhler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984)
- 8 Machi – Paul Horgan (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1955)
- 14 Machi - William Fowler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
- 2 Aprili - Hannes Alfven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970)
- 14 Mei - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 25 Juni - Ernest Walton (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1951)
- 21 Agosti - Subrahmanyan Chandrasekhar (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
- 6 Desemba – James Reston (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1945)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: